daah accacia wametoa ajira nyingi sana kwa vijana zaidi ya ajira elfu hamsini na kitu me naliangalia hili kwa upande mwingine wa ajira kwa vijana naliona mbali sana maoni yangu naona wakae mezani wazungumze then system ikae poa waanze na kodi zao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.