Ni jambo la busara sana kwa hali ya sasa kumweka pembeni mtu yeyote anayeonekana kutokwenda sambamba na mabadiliko yanayoendelea,ni jambo lisilopingika kwamba uwajibikaji si swala la hiari tena,ni wajibu wa kila mtumishi kujipima na kuachia ngazi endapo itaonekana kwamba hajatenda sawa na...
Ni jambo la busara sana kwa hali ya sasa kumweka pembeni mtu yeyote anayeonekana kutokwenda sambamba na mabadiliko yanayoendelea,ni jambo lisilopingika kwamba uwajibikaji si swala la hiari tena,ni wajibu wa kila mtumishi kujipima na kuachia ngazi endapo itaonekana kwamba hajatenda sawa na...
kwa ujumla magamba wamenaswa kote kila wakijaribu kutokea popote wanaendelea kudidimia tu,cha msingi ni kwamba watuachie jimbo letu kwa maana waliingia kwa dhuluma,nadhani kwa hali ya sasa tunahitaji uongozi makini sio wa kiujanjaujanja na kidhuluma kama wanvyotaka magamba mungu ibariki tanzania.
zito ni mjanja sana amewaingiza jamaa choo cha kike ili wajiingize kumlaumu kwa ushabiki wa kichama ,sasa kwa sababu wamemfanya kuwa mtuhumiwa kwa kumrushia makombora naye atahitaji sasa kumalizia kwa kuwaangamiza wote wahusika,subiri kesho saa 5 ataongea na vyombo vya habari muone sakata hilo...
katika mgomo uliopita mkuu wa nchi aliahidi kulishughulikia madai ya madaktari,na kuwaahidi watanzania kwamba hali kama hii haitatokea tena,cha kushangaza ni kwamba kabla hata miezi 4 haijaisha mgomo wa madaktari umejirudia tena.hii imetokana na kutokutekeleza ahadi na kile alichoamini kwamba ni...
Tunalipongeza kikao cha bunge cha leo kwa kuonyesha ukakamavu na uzalendo katika kutetea maslahi ya taifa. Mjadala uliohitimishwa na wabunge umeleta uamsho na hamasa kwa wananchi, pale wabunge wetu walipotupilia mbali itikadi ya vyama vyao na kuweka mbele uzalendo na maslahi ya taifa, kwa...
ni swali rahisi kwa mtu yeyote aliyewahi kusafiri toka kaskazini-kusini,mashariki-magharibi anaweza elezea practically
utajiri tulionao tanzania,lakini kwa yeyote ambaye hajapata fursa ya kushuhdia itakuwa ni vigumu kwa sababu ni nadharia
lakini turudi nyuma tuangalie misingi ya maendeleo ni...
ni swali rahisi kwa mtu yeyote aliyewahi kusafiri toka kaskazini-kusini,mashariki-magharibi anaweza elezea practically
utajiri tulionao tanzania,lakini kwa yeyote ambaye hajapata fursa ya kushuhdia itakuwa ni vigumu kwa sababu ni nadharia
lakini turudi nyuma tuangalie misingi ya maendeleo ni...
swala sio kumtengenezea lema ajira,kilichofanyika hapo ni kwamba watu wengi wapate elimu na ukweli wa mambo jinsi yalivyo kwa haraka sana,na pia ni mojawapo ya kumtuma kwa watanzania kutoa elimu ya uraia.watanzania wanhitaji
kujua mambo mengi juu ya haki zao,lakini sasa nani aende?ccm! nadhani...
endapo atakubali kugombea kwa tiketi ya ccm basi kweli haimo ndani yake.imani yangu kubwa ni kwamba watu wa mungu
wanajua kwa hakika kwamba palipo na haki na kweli hakuna ufisadi,wizi wa mali ya umma,uonevu wa namna yoyote,kukosa uwajibikaji,na kupeana vyeo kwa upendeleo ilimradi tu wewe ni...
Machungu ya mtanzania kutokana na utawala ulopo hauwezi ukaelezeka (beyond tongue can tell) k.m kupanda kwa gharama ya maisha kwa kiwango kinachozidi 150%,umaskini uliokithiri kuendelea kumlemea mtanzania, utawala wa mabwenyenye wenye uchu wa mali na madaraka kuendelea kushamiri, kila...
DR. SLAA KATIKA TWTTER: Maneno yaliyoelezwa kuhuhusu kuchoshwa na maisha ya sasa kama elimu duni, kupanda kwa garama ya maisha kwa 150%, wanyonge kunyanyaswa pasipo huruma, umasikini uliokithiri kuzidi kulemea mamilioni kwa mamilioni ya Wa-Tanzania. nchi kutawaliwa na mabwenyenye wenye uroho wa...
kuvuliwa kwa lema mahakama haikutumia busara ya kutosha kwani hata shahidi zilizotolewa hazitoshi kumvua jamaa ubunge,na pia hata uchaguzi ukifanyika leo kiti kitarudi kwa lema ,sasa jaribu kuangalia garama zote hizo za kurudia
uchaguzi ni mwananchi wa kawaida anayeumia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.