Maji ni sehemu ya kundi la chakula na yana umuhimu mkubwa sana kiafya katika kufanikisha kazi mbalimbali mwilini .
Viungo vingi vya mwili ili viweze kufanya kazi vizuri vinahitaji maji , zaidi ya asilimia 60 ya uzito wa mwili wa binadamu ni maji ,Hivyo maji husaidia mwili kufanya kazi...
JE, NINA WEZA KUTUMIA JUISI BADALA YA MATUNDA?
Inashauriwa kula tunda halisi badala ya kunywa juisi ya matunda halisi,kwani matunda yana nyuzinyuzi kwa wingi na hivyo husaidia kuongeza makapi mlo mwilini.makapi mlo husaidia mfumo wa chakula kufanya kazi kwa ufanisi na husaidia MTU kupata haja...
FANYA MAZOEZI YA MWILI
Mazoezi husaidia mwili kufanya kazi vizuri kupunguza uzito hivyo kuepusha hatari ya magonjwa mbalimbali kama vile magonjwa ya moyo kisukari na shinikizo la juu la damu.Mazoezi ni pamoja na ; kutembea,kukimbia,kuruka kamba,kuendesha baiskeli,kufanya kazi shambani.Anza...
ULAJI UNAOFAA ni kula chakula chenye mchanganyilo wa angalau chakula kimoja kutoka katika makundi matano ya chakula.Chakula hicho kinatakiwa kiwe cha kutosha kukidhi mahitaji ya mwili.
Ulaji unaofaa unatakiwa kuzingatia mahitaji ya mwili kutokana na jinsia,umri,kazi na shughuli zinazofanywa...
Magonjwa ya kitropiki yaliyosahaulika (Neglected Tropical Diseases au NTDs) ni magonjwa yanayosababishwa na bakteria na vimilea ambukizi ambavyo hupatikana katika nchi 149 ambazo huhesabika kutokana na hali yao ya anga kama nchi za kitropiki (zenye joto) kabisa au wastani.
Magonjwa haya...
Mazingira safi ni dawa, mazingira safi ni tiba, hutufanya kuishi Kwa amani mbali na magonjwa. Ni jambo la kushangaza, ya kwamba mwanadamu ni mzalishaji wa taka lakini si mwepesi wa kuziondoa taka hizo.
Magonjwa mengi hutokana na hali duni ya usafi wa mazingira na wetu binafsi.
Kusafisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.