Sperm analysis, HSG vyote vilifanyika, vipo sawa vyote, zaidi mwanamke alipewa dawa za kurekebisha menstral period kwakuwa zinavurugika wakati mwingine lakini bado.
Unaweza pita sehemu nyingi kwa ajili ya kupata suluhu juu ya matatizo/changamoto za uzazi na mwanamke kushindwa kushika ujauzito.
Ushauri mbali mbali nao unaweza kuupata kupitia watu mbali mbali ikiwemo kwenda kwa waganga wa kienyeji- (unaweza tumia gharama nyingi hapa) ikihisiwa kuwa Kuna...
Ushauri huu ni muhimu sana, kwani wengi hushindwa kuwa wavumilivu na kutolewa kwenye malengo waliyojiwekea pale wanapoingia katika mtego wa kuiga Ili wafanane na wengine kwa vitu kama vile magari, nyumba nk.
Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.