Recent content by thinks b4 speak

  1. T

    Mbowe na viongozi 6 wa CHADEMA wafikishwa Mahakamani Kisutu, wasomewa mashitaka 8, wanyimwa dhamana hadi Machi 29

    Kuna kitu nime note why wanaofurahia wapinzani kuteswa na serikalini wana I'D za majina ya kinyarwanda tu
  2. T

    Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    Nazani ujui nguvu ya mitandao -this guy is another tz government thread na inabidi ufahamu huyu ni mwandishi wa habari ambaye alikuwa mwiba kwa hii serikali kwa kuibua madudu
  3. T

    Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    Nchi imegawanyika kaka robo tatu ya watumishi wa serikali wapo agaist government Jiulize ni nani anayetoa siri za kuteswa kwa kina sugu gerezani. Theluthi tu ndio wanaoonja mema ya mfalme jua. Jua pale watu zaidi ya watatu wanapokutana na kuandaa uovu jua mmoja ni msaliti Trust me
  4. T

    Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    Ukiona damu ya watanzania inamwagika jua ni viongozi wa CCM na vibaraka wao kwenye vyombo vya usalama ndio wamesababisha na si upinzania wala wanaopigania reformation katika inchi hii kwa amani
  5. T

    Ansbert Ngurumo: Kikao cha siri ofisini kwa DCI kiliamua Mbowe na Wenzake wapelekwe mahakamani Jumanne wanyimwe dhamana

    Naona hapo umekaa kwenye kiti chenye hadhi then hela inamiminika kwenye account yako hata ujui imetikea kwanini usitetee uovu Siku zinaesabika
  6. T

    Shirika la ndege la kimataifa lalalamikia ukiukwaji wa taratibu za kiusalama uliofanywa na Mkuu wa Mkoa Dar

    Alijifanya mjuaji so akutii alicho ambiwa akaoneshwa kuwa ameingia nchi nyingine yenye sheria zake ambazo si rahisi kuzipindisha kwa aibu wamepeleka china kujiuguza
  7. T

    Shirika la ndege la kimataifa lalalamikia ukiukwaji wa taratibu za kiusalama uliofanywa na Mkuu wa Mkoa Dar

    Huyo makonda hajakoma Alijifanya yeye ndio kila kitu na sehemu yeyote anaingia but kilichompata pale lugalo jeshini wakati wa kuaga wale mashujaa wetu nazani amekisahau hadi wakamkimbizia china kwa matibabu ipo siku watampiga risasi kabisa.
  8. T

    Mtego aliotegewa Abdul Nondo na "watekaji" wake,hauna tofauti na ule wa Odwang Odwaa mwanafunzi Mganda UDSM

    Lumumba at work ninahamini hamna miaka zaidi ya mitatu ya kujitapa na kujiona mpo juu ya sheria na kujipa mamlaka ya kutoa hukumu.
Back
Top Bottom