Hivi ni kweli mama salma kikwete ndio mhusika mkuu wa vimemo bandarini?
Imasekana alikuwa anavusha makontena bila ya kulipa kodi kwa kutumia taasisi yake ya WAMA
Mweshimiwa umesomeka sana greater thinker ndio watakuelewa nakushauri post yako uipeleke kule kwenye lilejukwaa utapata mawazo mazuri sana ambayo yatakuwa msaada mkubwa sana kwa raisi wetu
Kikao kimeitwisha kesho na ni dharura sana na hints. Ni kwamba kwa nini magufuli anataka kujumuisha wapinzani ndani ya serikali yake kwa kuwapa uwaziri
Una hoja za msingi sana but ninachoona na kuhisi unaupinzani usio kuwa na tija na magufuli then inaonesha u mdini sana na inawezekana kabisa ni mtu hatari sana katika hii nchi ukiambiwa uuwe ili uwe bilionea hapa tanzania haushindwi kufanya hivyo.
Umepokwa ugali sio na vijisafari vya nje hakuna pia inawezekana ulinufaika sana kifisadi awamu iliyopita sass hela zimepotea na hata kukufanya ushindwe kwenda sehemu za starehe ulizozoea shame on you.
Ninapingana na wewe magufuli yupo ccm but asilimia 90 ya waliomsaidia kuingia ikulu wanampinga coz karibia wote walikuwa wapiga dili.
Na wasipo kuwa makini hao wachache wanaomkubali magufuli ndani ya CCM wanaweza magufuli anaweza pata shida sana kupita ndani ya chama katika uchaguzi wa 2020 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.