Recent content by thewajibu

  1. thewajibu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

    Kiufupi wako vizuri sana madhaifu yatabaki ya mtu mmoja mmoja
  2. thewajibu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

    Ma bikra wa kutosha sana
  3. thewajibu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

    Numeishi nao kabisa na kidogo tu nioe huko wako vizuri lakini mchunguze kwanza
  4. thewajibu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sehemu ambayo ukipata mke hutokaa ujutie

    Oa mkuu lakini awe bikra
  5. thewajibu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pole kwa vijana wajinga wote

    Bikra zipo za kutosha kwenye nchi hii tena nyingi sana
  6. thewajibu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pole kwa vijana wajinga wote

    Nilitoa mil 1.5 halafu binti mwanamwali kabisa
  7. thewajibu

    JamiiForums Tanzania Unawaamini waganga wa kienyeji au huwaamini na kwanini? Tupe uzoefu wako

    Nilikuwa kijana mdogo enzi mambo hayo yanatokea japo yalinigusa moja kwa moja kwa sababu mganga akija nyumbani wote mnahusika
  8. thewajibu

    JamiiForums Tanzania Unawaamini waganga wa kienyeji au huwaamini na kwanini? Tupe uzoefu wako

    Umesema vyema kiongozi
  9. thewajibu

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga nyuki kisasa

    Hongera sana siku moja nitakuja huko niicheki maana mimi pia mfugaji mwenzio
  10. thewajibu

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga nyuki kisasa

    Pandisha mizinga mkuu, nyuki wanaingia kama hawana akili mwaka huu, miaka miwili iliyopita ulikuwa mtihani
  11. thewajibu

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Mawasiliano yapo sema alihamia ilagala mbali na pale
  12. thewajibu

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Kuna jamaa mmoja anaishi kijiji hicho ambacho ulikuwa unaishi mwenyeji wa Kahama kuna muda anaendesha bodaboda sijui kama unaweza ukawa unampata
  13. thewajibu

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Nilitoka mwezi wa tatu mwishoni huko lakini naamini ntarudi
  14. thewajibu

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    Huyo huyo kiongozi, kimasihara haikuwepo kukiwa na watuhumiwa
Back
Top Bottom