Recent content by TheTanzaniaWeWant

  1. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo: Bunge la Katiba na Tanzania Tunayoitaka

    Ooh sorry, itakuwa jumapili tarehe 4 May 2014 wakuu, nimesha edit post hapo juu, poleni kwa usumbufu.
  2. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo: Bunge la Katiba na Tanzania Tunayoitaka

    Haya tena wadau, La mgambo likilia lina jambo, East Africa Business & Media Training Institute ikishirikiana na East Africa School of Journalism and Broadcasting, inakuletea mdahalo wa Bunge la Katiba na Tanzania Tunayoitaka, utakaofanyika katika hotel ya Serena, Dar es Salaam ukumbi wa...
  3. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    tuna tatizo la kiufundi
  4. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Kombo:- Ni kweli maadili ya baadhi ya viongozi inanyooshewa kidole, na rasimu inaonekana inaweza kukidhi kwa kiwango fulani. lakini hakuna vifungu vinazuia wabunge hata wakitamani kuvibadilisha wasijaribu. iwe ni lazima kwa viongozi wa umma kuitii katiba. ibara ya 20:2 kiongongozi wa uma...
  5. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Swali:- miiko ya uongozi wa umma, je rasimu hii inatibu jeraha la manung'uniko ya jamii kwa viongozi?
  6. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Kombo:- upo uwezekano wa kuipinga sheria mahakamani, na sii kipinga mchakato.
  7. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Kombo:- sheria yoyote ambayo haijapingwa mahakamani na kupata tafsiri ya ubatili, itabakia kuwa sheria halali. changamoto za wingi wa wabunge kuathiri mchakato wa upitishaji wa katiba husika.
  8. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Stola:- kazi ya kutunga katiba ya nchi ni kazi ya bunge maalum la katiba, kazi ya bunge la kawaida ni kutunga sheria. wabunge wameapa kuitii katiba ya zamani ikiwa ni sehemu ya utendaji wa kazi zao ambazo ni pamoja na kutunga sheria ya kuandika katiba mpya.
  9. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Kombo:- katiba ni kitu muhimu sana. ni nyaraka inayopaswa kuheshimiwa sana, historia ya katiba zilizopita ni zao la viongozi wa juu, lakini sasa tumepata bahati ya kwamba lile neno "sisi watanzania" tutalifanyia kazi.
  10. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Stola:- ni kweli kuwa katiba ni waraka wa kisiasa, lakini katiba si ya wanasiasa, ananukuu katiba "sisi watanzania" hakuna sisi wanasiasa. viongozi huwekwa madarakani na wananchi ili kuongoza kwa kufuata makubaliano ya wananchi (katiba)
  11. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Rose:- leo tutaangalia rasimu kuanzia ibara ya pili kwani ibara ya kwanza tuliijadili kwenye mdahalo uliopita
  12. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Meza kuu imekamilika, Francis Stola na Masoud Kombo wamechukua nafasi zao.
  13. TheTanzaniaWeWant

    Mdahalo wa rasimu ya katiba mpya

    Leo tena wadau wa siasa tupo Serena hotel mdahalo kujadili rasimu ya katiba mpya. Mdahalo karibu utaanza angalia ITV ama fuatilia kwenye jf washiriki Masoud Kombo,raisi wa chama cha wanasheria Zanzibar na wakili msomi. Francis Stola rais wa chama cha wanasheria Tanganyika na wakili wa mahakama...
  14. TheTanzaniaWeWant

    Muendelzo wa Mdahalo wa Rasimu ya Katiba Mpya

    Wadau, Ni matumaini yetu kuwa mnaendela vyema na majukumu yenu katika ujenzi wa taifa letu, Tunapenda kuwafahamisha kuwa Jumapili tarehe 10/11/2013 ni muendelezo wa mdahalo wa rasimu ya katiba mpya tangazo limeambatabishwa hapa kwa maelezo zaidi. Asanteni.
Back
Top Bottom