nimekuja kuona thread very late....ila nimejichallenge kujifunza programming mwenyewe...natamani watu nikutane na wenye malengo kama yangu begginers wenzangu
This another hopeless comment..sasa kukutajia majina ya wanafunzi 18000 kunakusaidia nini wewe..kama lengo lako ni kutafuta ukweli follow link hii utaupata, The Mango Tree - Tanzaniakama lengo lako ni ushindani usio na tija endelea kutaka utajiwe majina ya wanafunz 18000
Kha[emoji15]!..Kwani mango tree ilikua inaoperate kwa kuwasaidia wanachadema?! ..taasisi imeoperate muda mrefu tu hata kabla ya kuimarika kwa upunzani kyela,kama kweli alizuiliwa kwa nia njema au kweli taasisi inaweza kuendeshwa bila yeye mbona baada ya zuio lake taasisi imeshindwa...
Hii ndo barua ilitumwa kwake kumpa zuio ambayo hata walipoulizwa kwa nn kumetokea zuio walishindwa kusema sababu wanabaki tu na hicho kigezo cha "undesirable"
Alafu nahisi wanaotakiwa kuwa na facts kuhusu thread hii ni wakazi wa kyela au wale waliobahatka kusoma kyela na wakakutana na misaada iliyotolewa na TMT kipnd hicho..mzee mwenyewe alikua anakuja mara mbili tu kwa mwaka tz..na waliokuwa wanapokea misaada hiyo walikua sio tu wale waliokuwa...
"Mtu hawezi kukataliwa kuingia nchini bila sababu" basi hiyo statement unaamini imeshamaliza kila kitu yani..hufukirii kuwa wanaofanya maamuzi hayo ni wanadamu..hufikirii kuwa inawezekana wakafanya zuio lisilo na sababu za msingi za haki lakini zikawa ni sababu za kimaslah binafsi.
Barua yake haionyeshi kosa..haijaspecify kosa, mpaka waziri wa mambo ya ndani alipoongea nae face to face alikiti kuwa mfadhili hakutenda kosa lolote, ila akasema tu "swala la kutengua zuio lako lipo juu ya uwezo wangu " japo zuio lako ni wazi kuwa halima sababu za msingi..
Bado vikwazo anavyowekewa na masharti anayowekewa ni magumu ..he is working very hard kusolve ishu hii imefika kipind mpaka inabidi aanze tafuta chances za kuongea na viongoz wa juu face to face badala ya barua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.