Recent content by thesym

  1. thesym

    Ndege zilizotengenezwa na Watanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho

    kama bbc wametangaza kwa namna ulivyowasisilisha basi waandaji wa hiyo habari wana changamoto na hawajafuatilia kiundani. Ndege unayoona ni toleo linaitwa skyleader 600 ambayo imedizainiwa Czech na hiyo kampuni ya skyleader. kwa hapa Tanzania skyleader inaitwa Airplane Africa Limited ambao...
  2. thesym

    Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    infinix hot 12 ilitoka 2022 mwaka pia iliyoka hot 20, 2023 ilitoka hot 30 na hot 40, 2024 ilitoka hot 50 na 2025 hot 60 bado sijaona uwezekano wa kutoa simu kila baada ya miezi mitatu. Na kama hiyo simu ilikuwa inastuck siwezi kushangaa hiyo simu ni dhaifu kiutendaji na ina mapungufu...
  3. thesym

    Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    sijui kama infinix wanatoa simu kila baada ya miezi mitatu, ninachojua matoleo ya smart, hot, na note hutoka kila baada ya mwaka fuatilia utaona. swala la simu kuganda ganda inategemea na mfumo wa memori, prosesa na ukubwa wa ram. mifumo ufs, na ram ya kubwa ya gb 8 inasaidia maana android...
  4. thesym

    Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    hili jibu la AI lina makosa, samsung a16 inatumia chip ya mediatek helio g99 na sio exynos 13, pia hot 60 pro kioo chake ni amoled na sio lcd, pia kioo chake ni cha amoled sio lcd, pia hot 60 pro ina prokteta gorilla glass 7i, na chaji yake inapeleka umeme wa wati 45 ni kubwa kuliko samsung a16...
  5. thesym

    𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗞𝗶𝘄𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗰𝗵𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

    Hakuna ambapo nimesema "robot lazima afanane na MTU" unaweza kufafanua concern yangu niliyoyekq kuhusu contracts mkubwa duniani foxconn ya Taiwan kulingana na statement yako inayosema "kwenye nchi zilizoendelea simu zinakuwa assembled na robots badala ya watu 5,000 assemply line ina watu...
  6. thesym

    𝗙𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗸𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗞𝗶𝘄𝗮𝗻𝗱𝗮 𝗰𝗵𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

    Nchi zilizoendelea kama zipi zinazotengeneza simu Kwa robots za kiwango hiko? foxconn ni electronic contract mkubwa duniani na assembly plants zake zipo china Kwa sehemu kubwa na ndie mtengenezaji mkubwa WA simu nyingi iPhone, Google pixels, Microsoft Xbox, Sony PlayStation nk, sasa hivi pia...
  7. thesym

    Nahitaji kutengeneza AI mfano wa CHATGPT

    Upo sawa kabisa, mtindo ambao ume-sajesti mfano wa vitabu ndio DeepSeek waliutumia unaitwa distillation yaani unanyonya maarifa ya model nyingine(deepseek walinyonya ya openai) halafu ww unaiboresha zaidi Changamoto ya Tanzania, kwanza serikali haiko committed kabisa, intaneti ni gharama kubwa...
  8. thesym

    Nahitaji kutengeneza AI mfano wa CHATGPT

    Hakuna sehemu niliyomwandikia mamba, sijui unamaanisha nn
  9. thesym

    Nahitaji kutengeneza AI mfano wa CHATGPT

    Kutengeneza mfumo kama chatgpt sidhani kama unaweza kumudu na sio KAZI ya mtu moja au wawili kuanzia maandalizi ya data mpaka training, DeepSeek ni model iliyosifiwa kutumia gharama ndogo mpaka kukamilika, gharama ikiyotumika ilitumika dola milioni 6, gtp-3 model jumla ya gharama ilienda dola...
  10. thesym

    HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    Nimeshindwa kuziona na hata hiyo euv, unaweza nisaidia publication kiongozi kuhusu euv ya huawei
  11. thesym

    HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    Hili jambo zuri kumaliza monopoly, unaweza kutupa publication ya euv ya huawei inayofafanua euv structure test, m0 na m1 na hata tear down chini ya 40nm ya hiyo euv machine iliyotengenezwa na huawei
  12. thesym

    HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    Nilidhani huawei wanatumia SMIC hata hizi Ascend 910C zinaenda kutengenezwa na SMIC kutumia 7nm node basi ni vizuri maana ni muundo wa biashara uliowashinda AMD na kuiuza GlobalFoundry(walikuwa wanasema real men have fab) na kubaki kudesign, unaweza ukanipa linki nipitie fabrication plant ya...
  13. thesym

    HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    Kumbe huawei wana fabrication plant? huawei anaizidi vp nvidia?
  14. thesym

    HUAWEI yaipoteza NVIDIA kwenye soko la China, pigo lingine kwa Trump.

    mada ina ushabiki mwingi ila competition ni kitu kizuri labda bei za gpu zitashuka kama matarajio ya huawei yatakuwa halisi
  15. thesym

    Zantel na Zain wapunguza gharama za internet

    Kabla ya kusambazwa mkongo gharama za intaneti zilikuwa kubwa,, mwaka 2009 mb 20 ilikuwa ni sh 500 voda, baadae zain(airtel), ulikuwa unapaata mb 400 Kwa 2000 hii ilikuwa nafuu Sana maana zantel mb 500 ilikuwa 10,000 hapo hujazungumzia bei za modem maana simu hazikuwa sana. Lakini kuanzia 2013...
Back
Top Bottom