Recent content by TheSpam

  1. T

    Nikikumbuka tukio la bar na ukata wa vijana

    tabia hii ya mademu wanakuwaga ni vi formn four ..yaani ushamba..mm demu anayekuja na mwenzake huwa nampoteza
  2. T

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Namshauri tu akipigwa chini mwaka huu aachie nchi kwa amani na katu asiote kutaka kuongeza muda wa urais, patacimbika na yeye atachimbika
  3. T

    Joto mpaka lifike degree ngapi ndiyo itangazwe kwamba ni janga

    wanaume wa dar jamani!? 33degree tu za centigrade mnalalamika, hivi mkikaa hapa Khartoum SUDAN joto ambapo hufika mpaka 42degree si mtageuka chipsi mishkaki!?
  4. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    Wewe nikikuambia elimu yangu utashangaa yako haingii hata robo.
  5. T

    Mwamposa (bulldozer) ametimiza hatua muhimu ya kupanda daraja

    waambie hao wanadhani ndo mwamposa ataishia hapo..nimewaambia hili litapita
  6. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    umeona eeh nadhani ushapaniki, nenda kamuombe mungu wako atengue maneno yangu maana sikujui ila nimekuambia maono, hakuna anayemkebehi nabii au mtume wa Mungu akatoka salama..boxer honda, yamaha, toyo sunlg zoote ni bodaboda bro
  7. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    ndugu mm mwamposa hata kukutana nae sijawahi namsikia kwa tv na redio online tu...ninachoongea ni fact
  8. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    we kuwa na akili unamuita Muuaji wewe Mahakama!?
  9. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    we fala nini..kwa hiyo kumtia moyo mtumishi ndo nimeua wa mama!? kweli naongea na lofa
  10. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    ww maisha ninayoishi yako hayaingii hata robo kijana..umasikini unakusumbua..bata mzinga mm ndo kuku naokula kila siku
  11. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    b bro wakimeza hata mavi kwa imani yao ww inakuuma nini!? kwani wamelazimishwa!?
  12. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    Ninachooongea hapa nikukata ngebe za makima kama ninyinaofurahia hili.kutokea kwa kumbeza na kumkashifu Mwamposa
  13. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    Kama vile huyo mungu wako atakavyokustua siku ya kufa kwako kwa ajali ya bodaboda sio!?
  14. T

    Mwamposa uwe imara na moyo wa ushujaa, hata hili litapita

    Ungeongea haya basi siki nyingi sio tukio limetokea ndo unaleta pumba zako.
Back
Top Bottom