Wewe huelewi Importation namna ilivyo na ndio maana huwezi elewa why malalamiko yanafanyika miezi miwili baada ya mzigo kupakiwa kwenye meli.
Ninachokiona kwako, ni wale watu ambao mnaagiziwa mizigo kwenye magroup ya whatsapp na mnachangishwa ela.
Anyway, siwezi endelea kukuelezea haya maana...
Boss Hii Thread ni kwa ajili ya watu wenye akili ya utimamu, hasa wafanyabiashara wanaojielewa...sasa wewe kama ndio mchango wako kwenye hii Thread upo hivyo then hapa sio mahala pako...katafute sehemu nyingine
Sijui Ni Nani Atakaesoma Hii Thread. Ila Nategemea Kama Mtu Ni Mfanyabiashara basi ataweza Kunielewa Vyema Kile Ninachokipitia.
Sifa Kubwa ya Biashara Yoyote ile na Ustawi Wake ni Uaminifu. Biashara inapopoteza uaminifu wake kwa wateja wake, Ustawi wake unakua mgumu kupita maelekezo.
Kitendo...
Na mimi pia imenikuta, nimepakia Mzigo Tangu mwezi wa 9, saizi kila nikipiga simu mara naambiwa umefika bandarini, mara naambiwa utafika mwezi wa 11. sababu et meli ilijaa
Na mimi imenitokea hiyo, mzigo tangu mwezi wa 9.
Kwenye app yao mzigo unaonesha kua tayari umefika Tanzania, nikiwapigia simu wananipiga tu Calendar. Hii ni mara ya pili hili linatokea
Wanajamii, kwa mwenye uhitaji wa hizi huduma zifuatazo, anicheki Whatsapp mawasiliano 0676245401:
1) Data Analysis
2) Kupika data
3) Kutengeneza Logo
4) Kutoa ban whatsapp
5) Translation of articles/books/magazines(kutafsiri vitabu,majarida n.k) eng-kisw na kisw-eng
6) Kutengeneza card za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.