Recent content by theplainofmamre

  1. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Matendo ya mitume 2:38,8:1610:47 - 48,19:5
  2. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Matendo ya mitume 2:38,8:1610:47 - 48,19:5
  3. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Je, ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu ni sahihi?

    Matendo ya mitume 2:38,8:1610:47 - 48,19:5
  4. theplainofmamre

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inspekta Jenerali aomba radhi kwa polisi kusema uongo juu ya kifo cha Ojwang'. Halafu kuna Polisi wetu Tanzania!

    Huku wabunge wetu wanasema hawana cha kujifunza Toka Kenya,wakati Rais Ruto na sasa IGP wanaomba radhi hadharani huku huwa hakuna kabisa kitu cha namna hiyo
  5. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Asante kwa kunirekebisha nimewakumbuka watoto wa mzee Kimolo,Pia mfadhili wa Dundee Hassani kiwete,na golikipa wake Gope ilikuwa ni burudani ya pekee.
  6. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Tulioishi Dodoma miaka ya 90's mpaka miaka ya 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Mimi naikumbuka Dodoma ya miaka ya 60 hadi 70 tulikuwa na mitaa ya kizota,Kikuyu,mlezi,makole,maili mbili,chamwino,majengo,bairoad,hazina,mkalama,mjimpya,chang'ombe,Barbara ya 7, Mackay house,soko mjinga (ilipo Nyerere square),mazengo,zuzu na miaka hiyo town tulikuwa tunajuana karibu...
  7. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

    Magwajima yapo mawili tu ndani ya CCM:- 1. ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA 2. DOROTH GWAJIMA
  8. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Nini tofauti ya vifaa vya upako vya manabii (maji, mafuta, chumvi) na vifaa vya baraka vya kanisa Katoliki (maji, misalaba, rosali, picha)?

    Wote ni wale wale tu ila wanatofautiana umri.Watoto wanatenda kitoto na mama Yao RC ana hekima kuwazidi.
  9. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni?

    Hii Ina maana kwamba hata wakatoliki wengi hawajui mamlaka kamili ya The Holy See na upapa.Ni mchanganyiko kweli kweli.
  10. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Waraka wa leo utakaosomwa ndo mtaona utofauti wa dini na utapeli .

    Marais wote kwa upande wa wa kristo ni RC na Makamu wa Rais waliotoka bara wote ni RC,hivyo lazima RC wawe na ushawishi kwenye utawala wa nchi kwa kuzingatia kuwa mfumo wa RC ni Dola inayojitegemea na yenye mamlaka kamili.
  11. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Swali kwa waislamu wote; Alichokifanya huyu Sheikh ni sahihi au amekosea? Sheria za kiislamu zinasema atapewa hukumu gani kwa Allah ?

    Wewe unaweza Leo kumuozesha Binti yako akiwa na 12yrs,maana tunaishi na waislamu mtaani lakini sijashuhudia mtoto wa umri huo kaolewa maana karibu wote bado wanasoma shule.
  12. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania Swali kwa waislamu wote; Alichokifanya huyu Sheikh ni sahihi au amekosea? Sheria za kiislamu zinasema atapewa hukumu gani kwa Allah ?

    Aisha was the only virgin he married. The majority of traditional sources state that Aisha was betrothed to Muhammad at the age of six or seven, but she stayed in her parents' home until the age of nine, or ten according to Ibn Hisham, when the marriage was consummated with Muhammad, then 53, in...
  13. theplainofmamre

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Hawa Chawa wa Rais Samia wenye 'plate number' za SSH 2025, Polisi wanaweza wasimamisha barabarani kweli?

    Huenda amelipia kama special plate number kutimiza uchawa wake.
Back
Top Bottom