Waziri ameshindwa kuunganisha kauli ya Rais alipolizungumzia swala la Mo, aliposema watanzania sio wajinga.Hivi Mo alivyopotea kihuni kama vile alitaka tukae kimya?Msomi wa sheria kama Mwakyembe kusema watu waache kuzungumzia swala la Azory nadhani ameteleza kwa maoni yangu.Leo kapotea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.