Recent content by Theonest Theophil

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hebu naomba msaada wa kuijua post graduate diploma in law.

    Inamsadia kupata angalau uelewa WA baadhi ya mambo kisheria.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hebu naomba msaada wa kuijua post graduate diploma in law.

    Huwezi kutumia post graduate diploma kwenda LAW SCHOOL, ni lazima Uwe na degree ya kwanza. Hayo ni matakwa ya kisheria. Soma The Law School of Tanzania Act.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ukabila, ukanda ulivyoitesa Tanzania katika uchaguzi mkuu 2015

    Uchambuzi wa kitoto Sana.Eti kaskazini ndio wanaongoza kwa wasomi?? Na kagera wasemeje?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

    nikweli kabisa wanafunzi waliotokea saint saint wana disco sana vyuoni. Nafikiri wanadhani chuo ni kuongea kiingereza, nimewashuhudia mwenyewe. Wanafunzi wa shule za kawaida wanajituma na wanafanya vzr.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

    Hivi kwanini hao wanafunzi wanao toka shule hizo za sant sant wakifika vyuo vikuu wanadisco tuu au wanashindwa kabisa wakati wanakuja na division one kariii?? Na kingereza kama cha ulaya!! Chuoni naona wanaofanya vzr niwale wanaotokea shule za kawaida kabisa na wanajua nini wanafanya.
  6. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Kafara zimeanza mapema namna hii?? Uchaguzi wa safari hii tutaona mengi
Back
Top Bottom