Hebu naomba msaada wa kuijua post graduate diploma in law.

Chief wa kibena

JF-Expert Member
Mar 13, 2016
686
394
Wanajamvi ninaomba kuijua
hii course ya post graduate diploma in law jins ilivyo na inavyotolewa, je mtu akimaliza hii program anawexa kwenda law school. nimeona inatolewa na OUT na CHUO cha RUCO.
 
Wanajamvi ninaomba kuijua
hii course ya post graduate diploma in law jins ilivyo na inavyotolewa, je mtu akimaliza hii program anawexa kwenda law school. nimeona inatolewa na OUT na CHUO cha RUCO.
Huwezi kutumia post graduate diploma kwenda LAW SCHOOL, ni lazima Uwe na degree ya kwanza. Hayo ni matakwa ya kisheria. Soma The Law School of Tanzania Act.
 
Back
Top Bottom