Recent content by Theodora

  1. Theodora

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumsikiliza na kumwelewa Polepole wa Sasa tuwarejee Mapolepole wa awamu mbili zilizopita

    Hata Nelson Mandela alishawahi kuulizwa kama yeye ni mtakatifu na alisema “I am not a saint, unless you think of a saint as a sinner who keeps on trying.” Atleast Polepole is trying, maana wachache wamepaza sauti….
  2. Theodora

    JamiiForums Tanzania Wakeup Call Air Tanzania mpo

    Pole. You are not in my league. Great thinkers think big changia mada.
  3. Theodora

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu Wasitengeneze Videos! Ukweli Ni Huu - Samia Alipogoma Kutoka ukumbini

    Na hii ndio main issue ya Balozi HP. She is running for the first time lazima ashindanishwe….
  4. Theodora

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Chadema imeshindwa kuwalipa mawakili ndio maana Lissu ameamua kujitetea mwenyewe

    Bado haelewi huyo maana ya Pro bono.
  5. Theodora

    JamiiForums Tanzania Wakeup Call Air Tanzania mpo

    Kuna kazi ukijiingiza hupaswi kuwa na siku mbaya. Better go back and sleep umwachia mwingine. Hasa kwenye masuala ya maisha ya watu.
  6. Theodora

    JamiiForums Tanzania Wakeup Call Air Tanzania mpo

    Nawasabahi wote. Yaliyotokea Air India majuzi kupoteza watu zaidi ya mia mbili ni catastrophic ni jambo la kusikitisha na ingawa bado uchunguzi unaendelea tujikumbushe Ethiopia Airlines walikumbwa na ajali 2019 na ilikuwa pia ndege ya Boeing 737 MAX 8. Na chanzo ilikuwa MCAS ambayo ni aircraft...
  7. Theodora

    JamiiForums Tanzania TCRA yapiga marufuku watanzania mitandaoni kusambaza maudhui youtube ,WhatsApp nk ya wakenya nk ya kutukana Tanzania au Raisi

    Mmh. Na utu wa wote waliyopotea/ potezwa utatetewa na nani? It will become all our business when it comes to our door steps.
  8. Theodora

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

    Sio kila anayepiga makofi anashangilia…..
  9. Theodora

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya AGL Yaingia Mkataba wa Kuendesha Bandari ya Malindi Zanzibar Kwa Miaka 5. Serikali na DP World Mnatufundisha Nini?

    Na nakumbuka Rais Mwinyi alitoa sababu za kuingia PPP. Na ZPC ilikuwa inapata faida tu ya 16%. Issues kubwa port congestion and delays.
  10. Theodora

    JamiiForums Tanzania Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Tatizo our own people give excuses to defend mediocrity, kwamba ni sawa kuwa substandard or to receive poor quality service, na ukiwa wa tofauti upaze sauti ni fitna.... When this changes we will have full emancipation as citizens with dignity.
  11. Theodora

    JamiiForums Tanzania Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Soma vizuri nimeelezea. BTW hapa nilipo again the have outdone themselves delayed flight. Hata foreigners waliyokuwa silent are not happy. In a span of 4 trips I have taken in 1 month ALL THEIR FLIGHTS DELAYED.
  12. Theodora

    JamiiForums Tanzania Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    My friend precision is a broken record. 100% delays and poor service.
  13. Theodora

    JamiiForums Tanzania Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Hivi hawajaruhusu wawekezaji wa sector hii? Au masharti magumu? Vp huyu kimeo kapita vp due diligence?
  14. Theodora

    JamiiForums Tanzania Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air. Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda. Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.
Back
Top Bottom