Mi naona wanaolalamika wamepungukiwa na uwezo wa kufikiri cz kufukuzwa kwenye chama si mwisho wa mapambano na km kweli alifanya makosa kwa nn asiadhibiwe?
Inackitisha sn kuona rais anakuwa dhaifu hasa linapokuja suala la kuwawajibisha watendaji wake.., "eti atupishe wkt tunasubiri uteuzi" why!? tangu lini mwizi akabembelezwa? huu ni udhaifu, km imekuwa hvyo kwa Tibaijuka, itakuwaje kwa Mhongo? huyo c ndo kbs atapigiwa magoti.!?? Shame on u...
Vyote viwili vinategemeana pesa na umaarufu. Kwani wangapi walikiwa wakimfaham Penny kbl hajawa na Diamond na wangapi walikuwa wakimfaham Zari kibongobongo kbl hajwa na Diamond? Haya ni maswali ya kujiuliza bt majib yako wazi
Waandishi wa aina hiyo hawafai hata kidogo cz moja kati ya ethics za taaluma hii ni kupiga vita vitendo viouvu na si kushabikia. Huo ni ibabaishaji wa Watanzania wengi wa karne hii ambao wanaweka mbele maslah na si uzalendo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.