Recent content by Themwendo

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    pole mkuu kama uliweka arsenal kashafanya yake
  2. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo wana mipango gani na wanafunzi waliohama vyuo

    sikubadili coz mkuu nilihama chuo tuu napiga BSE
  3. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo wana mipango gani na wanafunzi waliohama vyuo

    ok! ahsante mkuu ngoja nifanye hivyo
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Subiri tu mkuu hua wanazinguaga inaweza chukua hata siku tatu au wiki kabisaa ikubali.Calm down & keep on trying every now
  5. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo wana mipango gani na wanafunzi waliohama vyuo

    Heshima kwenu Wakuu wa JF popote mlipo. Mimi ni mmoja wa wanafunzi waliohama chuo kimoja kwenda kingine katika mwaka wa masomo 2014/2015 lakini mpaka sasa ni semister ya pili sijapata mkopo,kiukweli maisha yangu yanazidi kua magumu hapa chuoni kila kuitwapo leo. Wana JF kwa yeyeto mwenye...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hapo kwa madrid mechi hiyo ni ngumu kidogo mkuu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahsante mkuu ni kupambana tu mpaka kieleweke .Maisha yanaendelea kama kawz kama wengine lkn nyuma ya pazia ni betting
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shark 04 simwamini xana
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kweli mkuu mi nipo chuo xaiv sijapata bumu tokea nianze chuo mwezi wa 10 mwaka jana ila naendesha life la school kwa kazi hii.Kinachotakiwa ni umakini tu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Halaf hii option ya both teams to score ni nzuri xana endapo utazichunguza timu unazotaka kuplace bet yako.Leo nimecheki 4 the 1st time nikaselect timu nne ambapo total odds ilikua ni 11.8 kama zali vile nikamnyorosha mhindi ila najuta coz niliweka stake ndogo xana(2000) ila atleast imeongeza...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nilikwambia mkuu naona nancy amesha kuliza pole lakini
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole mkuu kama uliweka huu jamaa kashachukua chake
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hiv vitimu vya ufaransa hua havitabiriki mkuu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni leoleo hawatachelewa xana mkuu kwenye xaa 5 hadi 8 itakua imeingia.Hongera mkuu mm jana ilikua ni majanga tu
  15. T

    JamiiForums Tanzania Shule kinara kidato cha 6 taabani

    Hii ndo bongo xaxa shule miaka yote unachukuaga wastani Wa wanafinzi 30 Tu,mwaka huu mnapeleka 237 huku hamjaboresha chochote mnategemea nn? Walimu hawatoshi,madarasa ndo hivyo tena,du kweli hiyo ndo #BRN
Back
Top Bottom