Sprinter 5A haina tofauti na Carina 5A, ila Carina inakupa option ya space kubwa kwa ndani hasa siti za abiria tofauti na sprinter wanao sema hizi gari ni za zamani kwetu huku vijijini bado zina tufaa sana tofauti na gari mpya mpya hizi, chukua chuma hiyo pia soko lake halijashuka hata ukiisha...
Ni kushuka kwa upendo na hii ni unabii, mkuu maana yote tunanayaona kushuka kwa upendo kuna endana na kukua kwa technology nyakati hizi za mwisho na hali itakuwa mbaya sana siku za mbeleni.
Biblia imesema nyakati za mwisho upendo wa watu utapoa na inaonekana katika hili kuna mazingira mengi yanayoweza kuchangia hali hii. Mimi niliwahi kuwa na hali fulani ya maisha ya kawaida tu ya mkate na chai nikapambana sana na ndugu na jamaa kila aliyekuja Mkoani hapa alifikia kwangu sasa...
Jambo dogo sana hili mkuu kama ni mtu wa familia huwezi muacha mtoto akalelewe malezi mengine na mama au baba mwingine na huwezi muacha mkeo kizembe hivyo, pesa inasahaulika lipa Mali hiyo taratibu taratibu malizana na mzee kisha kimbilieni kwa Yesu mpate amani ya kweli lakini usiache familia...
1. Kufunga Spencer
2. Kubadirishia coil spring na shock ups zenye height kubwa kidogo kuliko zile za awali?
Wajuzi wa mambo njooni mtupe ABC kati ya njia hizi ni ipi inaweza isi athiri stability ya gari pamoja na vitu vingine kwenye gari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.