Recent content by Theironbutterfly

  1. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo salamu za Mei mosi za Rais Samia kutoka Kenya

    Ukiwa mtumishi wa Umma hasa local government,halafu ukayaamini hayo,utakuwa zuzu,aliyeuziwa kichupa akaondoka anacheka akidhan ni dhahabu,Aliwahi sema hayati Julius Kambarage wakati Fulani.
  2. Theironbutterfly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

    Nimeumia wapi???
  3. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Sare za vyama mbali mbali vya wafanyakazi kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani - MEI MOSI 2024

    Binafsi naisubiria sare yangu hapa Wanasema dereva kazifata Ila nitaiweka kwenye mkoba nitaivaa eneo la tukio,siku husika
  4. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Siyo ajabu Viongozi wa Dini kwenda kuwaombea Viongozi wa Serikali maofisini, Prof Malima na Meya KK walikuwa wanaombewa Sana!

    😂😂😂anaombewa daily,kunani?? Au roho za aliowakatisha uhai zinamjia usiku akilala?nightmares🤔
  5. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania na Malawi waharakishe Kutatua suala la ziwa Nyasa

    Kwani tibaijuka hakumaliza huu mgogoro? Haya Jerry silaa,kijana mchapakazi kamalize hiyo ishu asap🤣🤣
  6. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili ya kuanza kujadiliwa

    I second you Business as usual
  7. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha: Igeuze Arusha kuwa ndo "Financial Centre" ya Tanzania na iwe mfano wa mikoa ingine na tafuta washauri maalum

    Vipi bado hajawataja wanaomtukana mama yake?🤣🤣 Ndo kazi anayoiweza
  8. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

    Hiyo kwa mtzed wa kawaida kuipata daily ngumu Halafu Kuna wale wa kula viporo washibe ndi ndi ndi Hawa hawataiweza hii
  9. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Samaki, nyama, kuku na maharage kuliwa kama mboga ni dalilli ya umaskini?

    Uko sahihi Umasikinj umetamalaki Watu wanakula ili wasife😂😂 Sio kupata afya bora
  10. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Vijana wa HALAIKI huwa wananufaika na kipi baada ya mafunzo na shughuli ya kiserikali kupita?

    Zile choka mbaya private🤣🤣
  11. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Vijana wa HALAIKI huwa wananufaika na kipi baada ya mafunzo na shughuli ya kiserikali kupita?

    Nashukuru Mungu shule za private aka mabasi ya njano hazishiriki huu upuuz,so uhakika wanangu hawawez shirikishwa huu utumbo👌
  12. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Kwanini kawawa hajaenziwa kama sokoine?

    Si wanasema alikuwa hausiboi was Nyerere?🤣🤣Sasa unaweza muenzi hausiboi kweli?
  13. Theironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Mange kapiga kwenye mshono Kashamjibu kuwa spana zinaendelea Hivi ishu ya saga koboa ni kweli??
Back
Top Bottom