Recent content by TheForgotten Genious

  1. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Neno,asante sana
  2. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Mfumo hauruhusu,kuna kipengele ni lazima ujaze shughuri zako,katika shughuri kuna main activity na minor,Ukichagua mfano hospital equipments services,basi itachagua installaton,maintanance nk,huwezi kuchagua,tena kama telecom,IT nk
  3. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kusajiri kampuni yenye huduma zaidi ya moja?

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  4. TheForgotten Genious

  5. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania kusajiri kampuni yenye huduma mchanganyiko.

    Your PM Isn't accessible please!
  6. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania kusajiri kampuni yenye huduma mchanganyiko.

    Ume-limit
  7. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania kusajiri kampuni yenye huduma mchanganyiko.

    Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya aina moja tu,kama biomedical ni biomedical tu,je nafanyaje hapo?
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mkuranga - Lindi ni mbovu sana, ina mshimo makubwa na TANROADS wamekata lami na kuiacha hivyo hivyo

    hakuna barabara inayoeleweka labda kuanzia morogoro to iringa na njombe
  9. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

    Inahitajika nguvu ya ziada kimwili na kiroho,wakienda sawa na miongozo wanabadirika kabisa na hawezi kurudi tena,na kuna wanaojiuza wanakazi nzuri,maisha si haba na wametoka familia nzuri si kwasababu za kiuchumi,so vingi vya uzingatiwa
  10. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

    Wap ila ni wachache,kuna visa viwili navifahamu,ni wale ambao walienda kufanya kwa sababu ya ugumu wa maisha kabla hawajawa addicted wakapata mtu huko huko kwenye kujiuza serious,wakaridhiana,na anaacha kabisa,wapo ambao wamesha kuwa adicted hata wakaolewa hawaachi.
  11. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania “Give Africa a permanent seat at the table.”

    Robert Mugabe made that demand 10 years ago. Last week world leaders gathered in New York for the 81st UN General Assembly, the same fight is still unfinished. Africa has 54 UN member states , more than a quarter of the organization, yet not one permanent seat on the Security Council. The...
  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

    Idadi ya wanaofanya ukahaba ni ndogo sana, na hawana chakupoteza,na wale wanaojiuza wapo protective sana si wote lakini,nani atamuumiza wakati wao wapio kibiashara na wanaowanunua wanajua kabisa,?haya huwakuta ambao hawafanyi hiyo biashara,hawa wanasumbuliwa na majini mahaba ambayo huketi mara...
  13. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

    Nadhani hujaelewa muktadha wangu,tayari ni kifungo,na nimezungumzia hapo aina ya vifungo ambavyo hutokana na familia binafsi,soma tena utaelewa
  14. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

    Sasa unataka umuumize mtoto wa mtu bila sababu za kueleweka halafu ubaki salama?
Back
Top Bottom