Recent content by theeeegreeeet

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    majina ya waliochaguliwa (WI) degree
  2. T

    JamiiForums Tanzania UDOM chuo kinachozoa zoa

    hizo four zipi zipo udom
  3. T

    JamiiForums Tanzania Magufuli kuzindua ndege mpya za ATCL trh 28/9/2016

    ongera jpm
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    hapo sijui kuhusu hilo but unaweza ukaulizia chuoni watakupatia majibu
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    katika sekta zenye upungufu wa watu na maji ipo pia pale chuon wanatoa degree ya (water resource and irrigation engneering) ambayo ni kozi inayoitajika sana tanzania pia ni rahisi kujiajiri
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    zipo nyingi tu but kuhusu mawasiliano sina rafiki yang kwan hata mm niliwatumia madalali kupanga chumba tu kama wapo wa kukusaidi wakusaidie
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    unaweza tembelea website yao kuna majina diploma ya nacte but kwa degree bado
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    ndio hostel ni za diploma kwa degree unaweza panga msewe kwa 50000 na zaidi kwa mwezi au riverside na mawasiliano kwa 40000 na zaidi kwa mwezi but mkataba ni kwa miezi sita
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    hapana mkuu majina bado but utapata update yakitoka
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    next time confirm kwanza kabla ujakoment
  11. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    mkuu chuo kimebadilisha jina rejea website yao
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye swali lolote kuhusu water institute(WI) unakaribishwa

    kwa wale mliochagua chuo cha maji degree au diploma unakaribishwa kuuliza swali lolote kuhusu hiki chuo kipo ubungo karibu na coet udsm
Back
Top Bottom