Recent content by THECHANCE

  1. T

    JamiiForums Tanzania Lissu na wengine ni Tanzania Mpya heros. Vizazi vitawatambua hivyo.

    Salaam! Miaka mingi sana sijaandika. Nipo busy ughaibuni. Lakini, leo nimelazimika kuandika ili kuwasihi. Nikiwa huku nilipo napata wasaa mzuri wa kuona siasa za Tanzania na uelekeo wake kwa ujumla. Tanzania inakwenda kubadilika kwa mara ya kwanza tangu ianzishwe. Mikononi mwa Rais Samia...
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado sijapata

    weka namba yako
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mmmhhh. . . . . . . .huku ni kupenda ama ulimbukeni?

    Wana MMU nawasalimu! (hasa Madame B) (naombeni nitumie uandishi wa ki fb) Kuna she mmoja rafiki yangu sana ana bf wake anaefanya kazi kwenye taasisi kubwa sana hapa tz. Tatizo linaanzia hapa! Jamaa kapiga mzigo weeeeeee hadi kaukinai(mtazamo wangu huu plz usijihusishe na hisia zangu)...
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ya hatari itangazwe kuhusiana na mapenzi!

    ndio au hapana yaweza kuwa jibu sahihi!
  5. T

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    mmhhmhhhmhhhh kweli tz ni nchi, au kijiwe? naomba kujuzwa! km mtu yeyote aliepo kwenye system naweza kufanya lolote atakalo, kweli hii ni nchi au kijinchi!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tendwa hajasema chochote juu ya Brigade ya CHADEMA

    aseme wakati yeye mshitakiwa wa kwanza kwa kusajili katiba ya chadema ambayo inasema waziwazi kuhusu red brigedia!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Ridhiwani sawa nafahamika ni mtoto wa prezidaa, sasa huyu kinje ndio mmafia gani vile!
  8. T

    JamiiForums Tanzania sababu za Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania kukosa dira

    Bunge sio tukufu tena, sasa hv ni bunge tukutu!
  9. T

    JamiiForums Tanzania NAWASHANGAA Sana CHADEMA..!!

    Nimependa ujio wako!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

    hehehehehe unaomba talaka siku ya mfungo! utamtesa mwenzio ujue!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

    Nimekuja, niume!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

    Heee jamani! mbona kama roho yangu inatakiwa! wewe Lady doctor ndio wakala nn? niambie unalenga nini tumalizane kwa hela, yann kumaliza kwa kutoana kucha na meno bure jamani? haya naimbie sasa hv ndg daktari!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

    Copy: Madame B nipe nafasi ila nihakikishie usalama kwanza, nasikia ni kama saccos hv! wengine wanausalama wengine sijui nani ili mradi ni watu wa sharishari hv!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

    na mm nielekeze kwa huyo mtaalam nipate mbinu za kuwakabili akina usalama wa Madame B plz nisaidie kabla hawanidhuru!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Madame B ana mpenzi huku? nifahamisheni plz!

    eheheheheh makubwa, hv ni kweli Madame B ana vituz vya kichina kule kati????? sitaki kuamini kabisaaaaaa!!
Back
Top Bottom