Naona upinzani unayeyuka.... ila sioni mafanikio wala maendeleo kama upinzani utakuwa upotezwa Tanzania... sidhani kama kuna mbunge wa Ccm atakaye kubali kupondwa ilihali wao ndo wameshika dola.... mfumuko wa bei... kodi zinazidi kupanda na pia viongozi wengine naona kama hawajui mipaka ya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.