Recent content by the_organist

  1. the_organist

    Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

    All the best kwake! Sisi wa "early 30s" ngoja tusubirie thread yetu[emoji2]
  2. the_organist

    Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

    Unless rafiki yako kashapata wa kufanana naye, nadhani you should stick to the thread. Otherwise thread yako inaanza kupoteza consistency. Jaribu kuignore comments zinazochochea hasira
  3. the_organist

    Namtafutia mchumba (mwanaume) rafiki yangu

    Umri 35? Duh! Am disqualified [emoji2]
  4. the_organist

    DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

    Kama ni yeye kweli basi fanya nipate mawasiliano yake PM, I can do something to help. By the way hata kama sio yeye, can't help much but I can do something!
  5. the_organist

    DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

    Uliposema single mother nimejiskia vibaya, af ni kama namjua! Jina lake halianzi na herufi M kweli? Sio Muislam?
  6. the_organist

    Leo nimepatikana, ogopa vitu vyepesi

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  7. the_organist

    Leo nimepatikana, ogopa vitu vyepesi

    Naomba namba yake mkuu!
  8. the_organist

    Napendekeza Bunge litunge sheria ya viboko kwa vijana wasiojishughulisha

    Kumbe mtoa mada anajiita 'nguva jike'[emoji1373]
  9. the_organist

    Kama una sifa zifuatazo, nakuhitaji kwa hali na mali, karibu tuyajenge

    Mtoa mada nenda Instagram utakuta wamejianika wamevaa nguo "translucent" (mitandio)[emoji2]
  10. the_organist

    Kama una sifa zifuatazo, nakuhitaji kwa hali na mali, karibu tuyajenge

    Achana naye huyo hajui anataka nn, njoo kwangu nina "focus" nzuri ya maisha
  11. the_organist

    Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

    Una mwanamke mswahili mno! Mwanamke anaendekeza mambo ya "mashoga" naelewa wazi kabisa kakufanyia nn hadi hupindui! Anyway, maisha ndo haya haya!
Back
Top Bottom