Recent content by The_antidot

  1. The_antidot

    Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

    Gono linakutafuna kweli kweli.. ushahidi n hiyo paragraph ya mwisho ulivoiandika andika teh.. pole mkuu!
  2. The_antidot

    Siku niliyomwamini mke wangu

    abakwe mara ngap.. siri ya kiumeni!
  3. The_antidot

    Siku niliyomwamini mke wangu

    hapo unapoamini wewe kwenye mazingira yasiyowezekana au yakijinga wao ndiyo wanapopatumia hapo au huwajui wanawake wewee.. Muraa skia, hawa viumbe wanaakili nyingi teh! nisikupe moyo mkuu.. ushachapika kitambo!!!
  4. The_antidot

    Katika harakati zako za mahusiano ya kimahusiano, ni tukio lipi huwezi kusahau?

    📢📢📢..Yamadoaaa yamadoa.. sumu ya panya ya kukausha sijui nini-na-nini ee!!
  5. The_antidot

    Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

    😂😂 Nyash na Nyash Nyash na Nyash oooh..🎵🎵
  6. The_antidot

    Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

    sasa umeenza kukua.. na nikuhakikishie tu hapo ndo kumekucha yaaani mambo ndo Kwanzaa yanaanza!!!
  7. The_antidot

    Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

    nyanshi na nyanshi nyanshi na nyanshi ooooh..🎵🎵
  8. The_antidot

    Akili kumi za kumteka mwanamke

    hili ndo tatizo la kua na mke mmoja, akili inalala kiongozi.. niseme inatosha kwa walio nielewa!
  9. The_antidot

    Najuta kutembea na binti wa kirangi

    wazee wa juju shrine.. haya sasa X kishakukamata kwenye Tv asilia.. hebu rudi kilingeni mshirika tujue tunafanyaje!!
  10. The_antidot

    Akili kumi za kumteka mwanamke

    haya Mr codes.. ila kaa ujue hayo 10 yanafanya kaz kwa mkeo siyo kwa wake wa wenziooo teh.. yangu kwa wake zangu ni moko tu #private car(gari nyeti)🤨
  11. The_antidot

    Ikulu chini ya Ulinzi Mkali Nchini Kenya

    vijana wanataka pia wakaufinye matonge ubwabwa wa Ikulu.. haya bn. generation z ya bongo muda wa kubet huu!!!!!
  12. The_antidot

    Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

    we mwenyewe unaUtoto.. kifupi nyinyi ni Matotoz!!!
  13. The_antidot

    Sativa225 (Edgar Mwakabela) kijana maarufu kwa kukosoa serikali X apatikana, baada ya kutekwa na ‘watu wasiojulikana’

    hii ndo Tz nayoijua mim.. we wateteee, pigania haki zao weee cku ukidakwa na wasiojulikana wapate content wapige pesa tiktok!
Back
Top Bottom