Wana JF,
Nimeolewa na mume wangu kwa ndoa ya kitamaduni toka mwaka 2002 na tumejaliwa watoto wawili wote wa kike (kwa sasa ni wakubwa tu) kila nikimuomba mume wangu tuongeze baby wa mwisho ananikatalia anasema hao wawili wanatosha wakati kabla hatujazaa tulipatana tuwe na watoto watatu.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.