Recent content by THE TRUSTWORTHY

  1. T

    Naupenda sana wimbo Nibebe wa Aslay, nikiusikia nalegea kabisa

    Halafu kuna yule mshkaji ana jina flani sijui Relief alisema anataka akufuatilie mkuu, kuna siku ilionekana umemkosha sana
  2. T

    Nafasi za kazi Zanzibar

    yeah, kwa biashara ya hotels Zanzibar ndio kwenyewe. Kama amesomea mwambie akutumie vyeti vyake na cv yake halafu wewe nitumie mimi PM kuna mchizi ntamtumia kama anahitaji mtu atamchukua na mwambie dogo asichoke kutafuta
  3. T

    Nafasi za kazi Zanzibar

    Akipata kwenye hotel ya maana kiasi basi mambo yao si mabaya. Walitangaza minimum wages kuwa 300,000 tangu mwaka jana July. Ila bado vile vihotel vidogo vidogo vinalipa vinavyojiskia
  4. T

    Nafasi za kazi Zanzibar

    Hili ni kweli ila kidogo kidogo siku hizi mentality inabadilika. Hata wakristo wanapata vyumba ila masharti na ukiwa unaingiza wanawake/wanaume mara kwa mara landloard mara anakutoa hata kama una mkataba
  5. T

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Jaribu tu kuwa na staha mkuu. Wengi wetu hatukupenda kuwa single parents
  6. T

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Mkasa wako ulikuwaje menzangu?
  7. T

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    For sure! tuombeane tu
  8. T

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Aamyn. Pole sana broo
  9. T

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    I agree with you japo humu tuko na wasiojulikana
  10. T

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    This is very true. tujivunie kwa kweli
  11. T

    Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Aisee muanzisha uzi ubarikiwe. Nimekuja single papaa! love my kid.... bora tulio single parents tuyajenge
  12. T

    Ujumbe kwa wanaume

    ushauri mzuri
  13. T

    Kwanini wanaume huwa na michepuko?

    Instead of fucking some unknown chicks from everywhere, there are four good spots at the maximum where you can have four different women with different qualities
Back
Top Bottom