Recent content by The Terror

  1. The Terror

    Mwenyekiti wa CHADEMA Arumeru Magharibi ahamia ACT

    Huyo Sheshe alitumwa na Lowassa aje agombee uenyekiti wa chadema, alipopigwa chini baada ya kupata namba ya kiatu karudi nyumbani CCM kupitia wakala wao ACT
  2. The Terror

    CHADEMA wadundana Arusha ndani ya gari la matangazo

    Unamaanisha nini we jinga kweli
  3. The Terror

    Kuelekea uchaguzi mkuu CHADEMA: Mkakati wa adui ni huu hapa

    Magugu hatuyatoi tunayachoma
  4. The Terror

    Intelijensia ya CHADEMA yabaini mamluki Arumeru Magharibi. Washindwa vibaya baada ya kugundilika

    Huyo ni moja, wapo wengi wakiongozwa na Beda............... wajue tu CHADEMA inawafahamu kuliko wao wanavyojifahamu
  5. The Terror

    Intelijensia ya CHADEMA yabaini mamluki Arumeru Magharibi. Washindwa vibaya baada ya kugundilika

    Hakuna mamluki ataingia CHADEMA camera zisimnase. Uwongo wote karibia mnaumaliza
  6. The Terror

    Intelijensia ya CHADEMA yabaini mamluki Arumeru Magharibi. Washindwa vibaya baada ya kugundilika

    INTELIJENSIA ya CHADEMA yabaini mamluki Arumeru, walitaka kujipenyeza kwenye uchaguzi wa Jimbo wakashindwa. Katika kile kinachoelezwa kuwa CCM na wakala wake ACT wanafanikiwa kukivuruga CHADEMA, intelijensia ya chama imekuja kubaini kuwa mbinu za CCM ni dhaifu, kiasi kwamba haihitaji cheti cha...
  7. The Terror

    Kuelekea uchaguzi mkuu CHADEMA: Mkakati wa adui ni huu hapa

    Kansa anajaribu kujitangaza mwenyewe, angalau jina lake liwe kumbukumbu kwenye mitandao kama hii hata kama ni kwa upumbavu
  8. The Terror

    Ephata Nanyaro ajitosa kugombea uenyekiti BAVICHA Taifa

    Unateswa na jambo ambalo bahati mbaya sana litaendelea kukutesa. tabaka katika jamii iliyostaarabika ni hatari sana. Badilika
  9. The Terror

    Video ya Bomu la Soweto kuwekwa hadharani, CHADEMA kuitisha mkutano wa waandishi

    CDM walisema aliyerusha bomu tunamjua, na wakasema ni askari polisi aliyetumwa na ccm kutekeleza mauaji, bado wakasema wana mkanda wa video unaoonyesha jinsi polisi walivyohusika, na picha za mnato, lakini ajabu hakuna kiongozi yeyote wa chadema aliyeulizwa au kuhojiwa kwa namna yeyote ule...
  10. The Terror

    Ephata Nanyaro ajitosa kugombea uenyekiti BAVICHA Taifa

    Nimefuatilia comments zako kwenye threads mbali mbali, ninapata impressions fulani....... I'm sorry mkuu manake zina ukweli!
  11. The Terror

    Video ya Bomu la Soweto kuwekwa hadharani, CHADEMA kuitisha mkutano wa waandishi

    Watu wetu waliuawa kwenye mlipuko wa bomu soweto, chadema wakaomba rais aunde tume huru ya kimahakama (judicial inquiry commission) kuchunguza tukio lile, chakushangaza siyo tu jk hajaunda tume, bali hata hakuna kiongozi yeyote wa chadema aliyehojiwa. Tunajiuliza intelijensia ya usalama ina...
  12. The Terror

    UVCCM mmemtuma haya Makonda?

    Makonda ni mdokozi, anaongea kama mwizi tu
  13. The Terror

    Dr.Slaa: Eid izidi kutuunganisha Watanzania

    Asante Rais Slaa... Pamoja sana
  14. The Terror

    Rest in peace comrade Chacha Wangwe

    RIP Comrade, makamanda wa chadema tunakukumbuka sana, tunakumbuka uwezo wako wa kuipigania haki za wanyonge
  15. The Terror

    Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Arusha Mjini tarehe 26 July 2014

    Zitto atagombea uenyekiti wa chadema kama alivyojitamba? Au atakimbilia ccm na kuwa mwenyekiti wa ccm branch mnayoiita sijui act?
Back
Top Bottom