Vipi kuhusu hali ya dola dhidi ya tsh pia izingatiwe, pia ghalama za usafirishaji, wakati huo na sasa. Then leta uhalisia wa bei ya sasa kwa mlinganyo wa miaka hiyo miwili Ukishapata hivyo njoo sasa na hoja yako sasa.
Vp ni msikivu sana, na kama ukifuatilia hotuba zake kuna mambo alikua haendan na bosi wake mwendazake mf. Deni la taifa kukua, maisha kupanda. Rejea hotuba zake kwenye bunge.
Habari za jumapili watanzania wenzangu.
Leo nalipanda jukwaa kwa mara nyingine japo si mara nyingi, lakini huwa nikipata chochote nawasilisha nilichonacho.
Nimeisikia kwa kifupi sana kauli ya Mh Rais wa JMT Dr John Magufuli katika hotuba yake leo juu ya hali inayoendelea duniani hasa janga...
Habari zenu wakuu mimi ni dereva mzoefu, mkazi wa Dar Es Salaam, nahitaji gari kwaajili ya mkataba kwa ajiri ya usafirishaji abiria kwa Uber na Taxify.
Pikipiki aina ya Boxer ikiwa na mwaka mmoja inauzwa kwa bei ya sh 1,500,000/=. Haina tatizo lolote la kiufundi.
Inapatikana Mtoni Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam.
Ila pia wapo ambao wanasifia kila kitu hata kama mkuu kateleza,
na ndio maana kwenye andiko langu nimeshauri tusiweke itikadi mbele kwa maslahi mapana ya nchi yetu
Bwana Yesu asifiwe...
Asalaam aleykum wana jukwaa.
Nashukuru Mungu kwa kunipa pumzi na afya tele, na leo nimeamua kulipanda jukwaa hili ambalo limesheheni wajuzi wa mambo na wasomi wakutosha.
Kwanza napenda kuwapongeza wanajukwaa wenzangu kwa mada nzuri ambazo mmekua mkizitoa katika jukwaa...
nilibeba mzigo kwenye gari binafsi aina ya Noah, nikaandikiwa kosa la '' carrying goods in psv'' . sijui magari ya psv(passenger service vehicle) ni yapi maana hata cjajua mpaka leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.