Recent content by The Stig

 1. The Stig

  Bei ya kubadisha fedha za kigeni FOREX sasa kupangwa na Serikali

  Tunarudisha taifa mika 30 nyuma. Mungu atudaidie.
 2. The Stig

  TTCL, Benki ya Posta, ATC, TRL taswira ya ujamaa

  Duh umenikumbusha nilipokuwa form 3 wakati huo tuna somo la Siasa shuleni. Nilisimama kuchangia darasani na kumwambia mwalimu kuwa ujamaa ni kinyume na hulka za binaadamu - aisee mwalimu wangu, mzee akaro, alipaniki sana karobu aniadhibu.
 3. The Stig

  RC Gambo awaomba radhi wajasiriamali waliotozwa ushuru na halmashauri ya Chadema jijini Arusha

  Gambo ajifunze siasa safi kutokana na namna mkurugenzi wa jiji alivyolishughulikia. Kwanza, mkurugenzi amemwita afisa aliyekosea na kumweleza kosa alilofanya. Na hata akamshauri ofisa aombe kwenda masomoni ili aongeze ufanisi wake. Hapa ingekuwa akina Gambo wangemsweka ndani masaa 48 Pili...
 4. The Stig

  Itachukua muda gani kupata upinzani wa kweli Tanzania

  Tanzania tutapata demokrasia ya kweli pale CCM itapokuwa na kuachia dhana ya kuwa chenyewe ni chama dola chenye kushika hatamu ya kila kitu na chenye hatimiliki ya taifa. Tanzania itakata minyororo ya ukiritimba wa mawazo mgando yasiyopingwa na yanayolidumaza taifa, pale itapoelewa kuwa siasa...
 5. The Stig

  Hivi kwanini Rais Magufuli anashindwa kwa kila kitu anachogusa ?

  Watu sio ng'ombe useme utawaswaga kwa kuwachapa viboko
 6. The Stig

  Gavana BoT: Baada ya Arusha sasa ni Dar, hakuna haja ya kuwa na Bureau de change zaidi ya 100

  Jamani hawa washamba na malimbukeni wanataka kutufikisha pabaya sana. Kwanini wanataka wa control kila kitu? Hawajui hii ni nchi ya watu milioni 55. Dat yenyewe ina watu million 5, yaani watu wengi kuliko wa new zealand wote waliotapakaa duniani. Mji wa Sidney una watu million 4 tu na mabenki...
 7. The Stig

  Umuhimu wa marais wastaafu katika kuilinda misingi ya nchi

  Unejitahidi, japo dhana yako ina mapungufu makubwa mawili; 1. Kutumia Azimio la Arusha kama mfano bora wa kuweka msingi wa taifa. Hili Azimio ni moja kati ya ma disaster makubwa yaliyolikumba taifa letu. 2. Kusema eti upinzani lazima utokee ndani ya CCM. Kwa ufupi "mtasubiri sana". Pia elewa...
 8. The Stig

  Tundu Lissu: A Glitch in the Matrix

  You are the vortex that facilitates the truism of the sentence "Sooner or later these minds are sucked in by the system and they disappear before they can do any 'irreparable damage'." You are the herd of cattle that will not transform its environment even if left to pasture for 20 years. You...
 9. The Stig

  Paul Makonda, Mrisho Gambo waisindikiza Ndege Zimbabwe mpaka Zambia

  What a waste? Akina Emirates wanadeploy ma Dreamliner yao route zilizoenda shule kama DBX-JFK, sisi tunaipeleka Lusaka? Tukubali tu kuwa hizi Dreamliner zetu tunatakiwa tuzikodishe kwa mashirika yenye hubs na routes. Tuache kupotezeana muda na pesa.
 10. The Stig

  Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

  Lissu ana utajiri gani????? Unafikiri kale kamshahara ka ubunge kanaweza kumclassify mtu kuwa ameingia daraja la matajiri?
 11. The Stig

  Watangazaji wa Clouds 360 wawashambulia Lissu na Zitto kwa kukosa uzalendo na kutumika kama vibaraka wa Wakoloni

  Clouds walishabikia sana Lissu alipomiminiwa risasi. Tena walitegemea angekufa kwa kukosa hela za matibabu. Tazama Mungu asivyochezewa - Lissu anapona na Clouds wanaomba msaada boss wao apate matibabu. Lissu na umaskini wake kaponywa na michango ya watu wadogo. Clouds na mapesa yao, pamoja na...
 12. The Stig

  Musukuma: Lazima Tundu Lissu afukuzwe Bungeni

  Hiyo ni roho mbaya tu. Anapata faida gani?
 13. The Stig

  Singida: Mkurugenzi(DED) wa Halmashauri ya Itigi adaiwa kumuua mwananchi kwa risasi

  Nchi inapita katika bonde la uvuli wa kifo. Watendaji wanaonekana wanachapa kazi kutokana na kiasi gani wanaweza kuwa wakatili dhidhi ya wananchi.
Top Bottom