Recent content by THE SPIRIT THINKER

  1. THE SPIRIT THINKER

    NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

    MIMI SIJASOMA ILA NIMEELEWA ILA SIJASOMA
  2. THE SPIRIT THINKER

    Kwanini waandishi wa simulizi wa bongo huweka kazi zao mitandaoni bure?

    huwa tunawapatia demo tu. ila lengo tunatafuta wasomaji wapya. maana kutokea hapa nimepata heshima ya Kimataifa. Kama nisingeliweka kazi zangu hapa nani angelifaham kama nipo ulimwengu huu?
  3. THE SPIRIT THINKER

    Kama unajua ndege vita karibu katika uzi huu tudadavue pamoja

    Sema hii kama ingelitengenezwa kwenye kizazi hiki asee angelitisha zaidi.
  4. THE SPIRIT THINKER

    Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

    NATAFUTA NAMBA YA JOHN MAKINI NA MAKONDA
  5. THE SPIRIT THINKER

    RIWAYA: Black star

    Black star 2: Nemesis 52 Mbali sana na mji wa Kunlun, katika kabila la uwaridi jekundu. Watu wengu walikuwa wamejaa kushuhudia majibizano yaliokuwa yakiendelea kati ya binti mwenye umri kati ya miaka kumi na tano na kumi na nane. Alikuwa akilumbana na mwanamke mkubwa sana kuliko yeye...
  6. THE SPIRIT THINKER

    RIWAYA: Black star

    Black star 2: Nemesis 51 Radi zilipoacha kupiga, Fahad alikuwa katika mavazi yake ya kifalme na kichwani alikuwa na taji kubwa la dhahabu. Ila vazi hilo lilikuwa tofauti kidogo na lile walilotengeza Nephira na wengine. Katika kila bega kulikuwa na kichwa cha kiumbe ambae hawakuwahi...
  7. THE SPIRIT THINKER

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    ajili ya kubadili nguo. To the end (mpaka mwisho) 23 Tariq Haji 0624065911 Nusu saa baadae Mlangp mkubwa wa kuingilia katika ukumbi wa mikutano ulifunguliwa, akatangulia Shanequeen akiwa katika vazo tofauti na lile alilokuwa nalo mwanzo. Kichwani alikuwa na kofia aina ya kapelo yenye kipaa...
  8. THE SPIRIT THINKER

    Riwaya: To the End (Mpaka Mwisho)

    Nakuja muda siyo mrefu.
  9. THE SPIRIT THINKER

    Kama unajua ndege vita karibu katika uzi huu tudadavue pamoja

    Get familiar with the airplane cockpit controls.
  10. THE SPIRIT THINKER

    Kama unajua ndege vita karibu katika uzi huu tudadavue pamoja

    Asante wataalam watapita nazo bila shaka
Back
Top Bottom