Recent content by The silenter

  1. The silenter

    JamiiForums Tanzania Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    hivi mnapo sema wale wa desemba mnamaanisha nini...? wale wanosafiri sikukuu tu kama za mwisho wa mwaka xmas na mwaka mpya au?
  2. The silenter

    JamiiForums Tanzania Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    260 haiwezi kuwa cha mtoto kwa 200 labda hiyo 260 iwe ni gari ya diesel kwa kawaida zinachelewa kuchanganya hilo tu lakini vinginevyo ni ndoto za abunuasi
  3. The silenter

    JamiiForums Tanzania Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Uliamua kuwa mstaarabu nikupongeze pia kwa hilo. Spidi kubwa roho mkononi jamani.
  4. The silenter

    JamiiForums Tanzania Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    Hizo speed lazima zifike vinginevyo tayari kunakuwa kuna shida kwenye gearbox au engine. So far tunanunua magari used ambayo tayari yameshapungua efficiency NOTE THAT ALSO
  5. The silenter

    JamiiForums Tanzania Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] fujo nyiiingi basi ulikanyaga kibati sipati picha hiyo ruti.....!
  6. The silenter

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mtaalam wa umeme wa magari

    Hivi ni kweli ukiwasha taa ya booster bila balbu yake unaua booster....???
  7. The silenter

    JamiiForums Tanzania Mafundi wengi ni wababaishaji nifanyeje?

    Nipo Mbeya town hapa.......! Yaani hivi navyoongea tayari fundi kasha ua booster ya kushoto ya taa za mbele. Kisa kawasha taa bila kuchomeka ile taa ya booster kwa hiyo imekula spark moja tu kwisha habar. Sasa nawaza tena booster mpya wakati ishu ilikuwa kubadili taa tu. Na booster used ya...
  8. The silenter

    JamiiForums Tanzania Mafundi wengi ni wababaishaji nifanyeje?

    kuweka maji kwenye spea sio ishu. ishu ni kwamba unaenda tengeneza kumbe unazidi kununua ugonjwa mwingine mpya.....!
  9. The silenter

    JamiiForums Tanzania Athlete Crown sio gari la kubishana nalo ukiwa barabarani acha liende

    [emoji23] Bajaji ina overtake V8 wapi na wapi jamani eeeh
  10. The silenter

    JamiiForums Tanzania Yajue majina ya Kichaga na maana yake

    hivi Nyari maana yake nini? TSUDUNI
  11. The silenter

    JamiiForums Tanzania Yajue majina ya Kichaga na maana yake

    Mantiri: mwenye nguvu
  12. The silenter

    JamiiForums Tanzania Mafundi wengi ni wababaishaji nifanyeje?

    Wakuu habari za majukumu ya kila siku. Nimepata shida sana napopeleka gari iwe ni service au Normal maintanance ya kubadili spea. Nashangaa nikienda garage badala ya gari kupona nakuta mafundi kwa uzembe wanazalisha tatizo jingine hapo hapo. Na wengine wamejaliwa maneno sana yaaani utamuamini...
Back
Top Bottom