Recent content by The Sages

  1. T

    Nina maumivu sana jamani, nahitaji msaada wenu

    Huenda mkavichukia vitu ikawa ni heri kwenu,na huenda mkavipenda vitu ikawa ni Shari kwenu,muombe mungu akuongoze,
  2. T

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Nashukuru kwa swali lako zuri,Lakini ninavyofahamu hapa ni kwenye jukwaa la Elimu so mambo yote hapa yatahusu Elimu,ingekuwa tofauti na hapo ,ningetumia ,jukwaa la hoja na habari mchanganyiko,Asante kwa kunielewa na kunikosoa ,ni jambo jema .
  3. T

    Walimu graduates (degree only) naomba kuuliza hili

    Waalimu wote huwa wanaajiriwa ,Suala hapa inategemea na Halmashauri uliyopangwa,mana watakapokuomba transcript alafu huna ndo matatizo yanaanza,Kwa uzoefu nilioshuhudia kwa rafiki zangu walio carry wote wameajiriwa na salary inasoma kama kawaida ,cha msingi andaa maelezo mazuri ya kushawishi...
  4. T

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Jamani wana JF,kama kuna mtu anayefahamu mazingira ya MVOMERO mkoani MOROGORO,Naomba anifahamishe ,Asanteni sana.:flypig:
  5. T

    Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Jamani wana JF kwa yeyote anayefahamu jinsi mazingira ya MVOMERO,Mkoani MOROGORO YALIVYO naomba kuyafahamu yako vipi wadau ,Asanteni kwa ushirikiano Kuntu,
  6. T

    Sare za Shule, Kwa nini?

    Tukiruhusu vazi lolote,tutaleta utabaka shuleni,pia maadili ya uanafunzi yatashuka,labda itumike mbinu mbadala ya kuwatambua wenye changamoto hizo na kuwapa msaada,Asante.
  7. T

    Ajira mpya:hamia kagera,

    Kwa mwalimu wa shahada anayetaka kuhamia mkoa wa Kagera Biharamulo kutoka mikoa ifuatayo (DODOMA, SINGIDA,SHINYANGA,MOROGORO ) Tuwasiliane 0767977834
  8. T

    Ajira mpya:hamia kagera,

    Kwa mwalimu wa shahada anayetaka kuhamia mkoa wa Kagera Biharamulo,Kutoka mikoa ifuatayo (DODOMA, SINGIDA,MOROGORO,AU PWANI tuwasiliane 0767977834
Back
Top Bottom