Recent content by THE RETURN OF ZOMBIE

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe aagiza wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wakamatwe!

    Hao ni wale walio kuwapo zamu siku hiyo. Je, waliobakia ambao siku hiyo hawakufanya kazi si wataendelea kupitisha?
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mtanzania adakwa na mihadarati China

    Eti Prisoner Exchange Makubwa! Kwani haya madudu yalianza mwaka gani? Sembe lilianza kuwa maarufu wakati wa awamu yangapi? Jamani hili janga jingine limetoka wapi? Nacho weza kuchangia nikwamba kama tutaweza kupambana na maadui watatu. Ujinga, Maradhi na Umaskini ndio tutaweza kutatua matatizo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kuhamasisha matumizi mazuri ya Mitandao ya kijamii na Mawasiliano

    System nzima ya mawasiliano walishaikosea tokea mapema! Walishindwa kusoma madhara na faida kwa nchi ambazo zilianza kutumia mitandao tofauti kablayetu. Kabla teknelojia ya mawasiliano haijapanuka nchini mwetu. Haya yanayotokea nchini mwetu leo yalisha tokea katika nchi ambazo tayari wao...
Back
Top Bottom