Unusual move?? [emoji23][emoji23][emoji23] haya sawa wazee wa announcements.
Lilitoweka dude flani hivi kwenye mazingira ya kutatanisha kutoka kwenye yard yake juzikati apa [emoji23][emoji23][emoji23] mlitandaza hofu kias cha kuufanya ulimwengu mzima upanic.
Hakuna sehemu ipo monitored kwa...
Tulia hivohivo boss, sindano unatodungwa nayo ni hateree ukitikisika tu itavunjikia kalioni, hapo hatutakua na namna zaidi ya kukufanyia (SPECIAL KALIO OPERATION) joking [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Calm down mkuu, ukiwa free minded ukayatafakari kwa makini maswali aliyokuuliza jamaa, ipo Logic kubwa sana. Shida ni kwamba kuna upande umechagua kuegemea
Amin wa uganda yeye alipokula tu ugali na kushiba basi akaona anaweza akafanya lolote na asitokee yeyote wa kumzuia, kuna mataifa wakamhakikishia support (kama tu UKRAINE alivyohakikishiwa support) basi bwana Amin akaukwaa mtimbwi wa vibwengo [emoji23][emoji23][emoji23].
By the way mie sikua...
Ivi kwa clarification kama hii kutoka kwa humble Russian foreign minister LAVROVE kweli bado kuna mtu ataendelea kuilaumu Russia?
Kwa ustawi mpana wa mataifa Yao na watu wao, viongozi wamekaa mezani waka-draft mustakabali wa future yao wakaweka makubaliano na West wakatoa ahadi bila...
Umetisha sana mkuu
Na inabidi wafanye upesi kutimiza hilo shariti bado mapema, maana wakichelewa tu anawabadilikia na kuwaambi nimeghairi sasa nataka mtekeleze vyote kwa pamoja.
Yaani gas mlipe kwa ruble na vikwazo viondoke tena vyote na vile mlivyoniwekea hata kabla ya kwenda Ukraine...
Kwamba wanachagua bidhaa za kuziwekea vikwazo? [emoji23][emoji23]
Kama ni wanaume si waweke vikwazo kwa bidhaa zote? Kwa nini wana-exempt bidhaa zinazowa-favor ?
Jamaa kawakamata penyewe. Ni kwamba turbine ikija tu Moscow kesho yake anafungulia gas. Shida ipo hapo kwenye hiyo turbine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.