Recent content by The real Boy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Muziki studio vinauzwa

    siqwzi weka vyote mkuu naomba njoo whatApp 0658644485
  2. T

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Muziki studio vinauzwa

    Nauza vifaa mbali mbali vya studio na mziki 1. Yamaha keyboard psr 440: (inapiga flash) *price 450,000* 2. Bass Gitaaa *Price 350,000* 3. Studio mic *280,000* Location Dar es salaam Contact: 0658644485 *kama utahitaji kifaa chochote cha studio au vya mziki vinapatikana karibu...
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Ameni, nashukuru saana Mungu anisimamie insha aalah
  4. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Sitafuti korona, be serious
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Asante mkuu, lakini sasa namfahamu vipi na hii hospital ipo wapi??
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Nipo makini saana mkuu
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike

    Habari za jioni? Nimewahi weka post hapa ya kutafuta mwenza, nashukuru waliojitokeza na nimejaribu kuwafatilia kwa ukweli nimekosa vigezo (sio kwamba nachagua sana) bado natafuta, bado nahitaji saana naomba msichana ambaye anaamini ametulia / amemaliza mambo yake yupo tayari kuwa mke wa mtu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania SOLD: Duka la vipodozi linauzwa milioni 1,950,000 tu, lipo Stendi Tabata Segerea

    One milioni ipo mkononi hapa kama unaridhia tufanye biashara
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniacha na amepata mtu mwingine aliye zaidi

    jitahidi na wewe umzidi huyo jamaa dem atarudi tena kwako maana ndyo tabia yake
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

    Wengine hawajakutana nazo sasa
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bei zetu mpya za mabelo ya mtumba

    grade one ya wapi? Arabic Us Kenya uganda china
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa simbembelezi mwanamke!

    Huo ndo uanaume
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Sexless, Tatizo huwa mnatengeneza mazingira magumu wenyewe, mfano hapa nilitaka kukutafuta hata tufahamiane lakini umefunga PM basi naomba ni pm tuongeee
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni zamu ya wanawake, "punguzeni kuwa maharage ya mbeya"

    povuuuuu, ha ha haa
  15. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni zamu ya wanawake, "punguzeni kuwa maharage ya mbeya"

    mbona mimi sijawaona hawa maharage wa mbeya???????
Back
Top Bottom