Umesema kwa lugha , mantiki na tafsida kama ambavyo ningesema. Kuna mada nilitoa humu kuhusu mfumo wetu wa malezi ulivyotufubaza kuanzia ngazi ya familia. Hayo tunayoyaona, ukimya wetu wa kijinga, fikilia mwenzetu anachukuliwa na kupotezwa, menzetu aliyekuwa akitetea maslahi yetu , sisi tunabaki...
Aksante sana na mimi nafahamu topics za kuandika ili watu wachangie ila hiyo hainizuii kudadavua mada nyingine muhimu hata nikijua sitapata mchangiaji. Kwangu hii ni kama reserve kumbukumbu yangu kuna siku na saa hizi mada zangu zote nitazitwist na kuziongelea katika panel kubwa na za maana...
Najua umejaibu kuficha ukweli, ila wewe sema tu ukweli,huyo just a friedn tayari ameshakukula na mko kwenye pesnzi,ila umejaribu kutupa scernario rahisi ili upate maoni na kumtambulisha rasmi kwa mpenzi wako aliyefulia. Kila siku tunaaambia wanaume husiinvest kwa malaya,wao penzi ni equivalent...
Umejibu vizuri kabisa na Haya ndiyo msjibu msomi mbobezi Aminiel Buberwa alitakiwa kuyatoa kwa ufafanuzi mahili kama ulivyosema. Kumbuka hoja ya andiko hili ni kucritics majibu ya Afisa mawasiliano ya umma kwamba yanapwaya na hayako exhostive na some are irrelevant. Andiko halijaribu kusupport...
aada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi. Kusoka hoja za Wadau bofya hapa chini:
~ DOKEZO: Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake...
Yaani ningekuwa na video za HIV/AIDS za miaka ya 80-85 zilizokuwa zikionyesha mtu anavyokonda na kubaki mifupa, zikionyesha familia nzima ikipukutika babu,bibi baba, mama, mtoto na wajukuu na kubaki vitukuu tu tena wadogo chini ya miuaka 5.
Hawa vijana hawajui nini maana ya Ukimwi, wamekuta...
Unajua sisi Watanzania ni wazuri sana wa kulishwa /kurambishwa/kunukishwa harufu ya pipi na kuridhika. Kama ungejua the magnitude of the problem nafikiri ungeshatambua the seriousness of the problem, kwa hiyo ungetegemea nchi ichukue hatua gani kubwa.
Kilichotokea sisi tunasema ni PR tu...
Bora umetuonyesha, humu kuna watu wabishi kama nini.Sasa wote mmekwishaonyeshwa kinachotokea. Hivi tutaendelea kuwa mazuzu mpaka lini. Proactiveness is an inborn trait the same as lazzyness. Sisi kwetu uvivu wa kufikili na kutenda ni inborn trait,kibaya tumejaliwa na ubishi,basi combination hizo...
Wewe wasema, Ebu rudia kusoma andiko
Paragraph ya kwanza imeelezea kitu kilichotokea mpaka tuwe na hofu ya dawa za HIV/AIDS toka USAID kupotea hivyo kuleta hofu ya wagonjwa kukosa dawa, paragraph ya pili imesummarize madhara ya kuacha kutumia dawa upande wa seroconvergence, paragraph ya nne na...
Uko sawa lakini umezisoma hizo stop orders za Trump vizuri, umefuatilia complains za Congress kuhusu kuzuia dawa za HIV/AIDS. Kama PEPFAR hisingeguswa unafikiri pangelikua na outcry ya level hii mpaka kusababisha kutolewa kwa waiver. Halafu kumbuka comprehensive HIV/AIDS management sio dawa tu...
kamanda inaonekana umezisoma vizuri stop orders za Trump. Yaani we do not know the outcome of the assessment, at least ameshasema the status quo haitakuw the same. Ni bora kujiandaa na the worse situation kuliko kubweteka na kushtukizwa while it is is too late
THANK YOU KAMANDA.TATIZO MADA KAMA HIZI HAWAZILIFT KWENDA KWENYE HIGH LEVEL PAGE KWA SABABU HAZIGUSI MASIRAHI YA MAMODERATOR ILA UKISOMA MAHUDHUI YANALENGA KUTAHADHALISHA DECISION MAKERS ON IMPENDING DANGER LAKINI THREAD IMETOA HATUA TATU AT NATIONAL LEVEL ZA KUCHUKULIWA.
NI THREAD IMETARGET...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.