Recent content by The Name

  1. T

    JamiiForums Tanzania Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

    Majembe Majembe haya yote tunayaamini
  2. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dawa za Kulevya: Askofu Gwajima atema cheche, adai RC Makonda anatumika

    Hii muvi ni tamu sana,makonda anaweza ondoka kwenye hicho cheo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nassari: Wanaopinga juhudi za serikali ya awamu ya tano wana matatizo

    Nadhani ishu hapa ni kwamba ametatuliwa tatizo la ardhi tu ambalo serkali ndio ilipaswa kulimaliza.kwahiyo ana haki kuipongeza.lakini mambo mengine felia tu.tena serkali imefeli haswa
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama ya Kisutu: Kesi ya ndugu Maxence Melo - Hatimaye apata dhamana

    Kamanda katoka safi sana!!
  5. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Sheikh Ponda amtembelea mbunge Godbless Lema gerezani leo

    Kamanda Lema hongera sana nimekuona Upo katika hali nzuri hutetereki.
  6. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Sheikh Ponda amtembelea mbunge Godbless Lema gerezani leo

    Wewe inakuhusu Nini,hongera kapewa jemedari
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Mashamba mangapi hayajaendelezwa mnatizama la sumaye tu!?sawa tupo najua muda ukasema na kikombe kitajaa tu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Hii ngoma mnayoianzisha Ccm ,sijui kama mtaweza kuicheza hadi mwisho
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Salum Hapi afuta Hati ya Shamba la Waziri Mkuu Mstaafu, F. Sumaye

    Weee ndio hovyo kweli yani Waziri mkuu akose PESA ya kununua shamba heka 35,ambazo Mi naweza nunua!! Eti amepora.mjinga sana wewe
  10. T

    JamiiForums Tanzania Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

    Filipo Hahaha filipo Umeua!! Wapo bwana waliobaki wale wauza vitumbua kina iddi mkuluu,rama na mmbulu mmoja hivi kiherehere
  11. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yashinda mapingamizi yaliyowekwa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG)

    Yani serkali kila kitu wao wa nataka kukandamiza tu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sumaye: CCM kaa chonjo

  13. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaisambaratisha vibaya CCM uchaguzi wa vitongoji Geita

    Wananchi wamejua sasa kwamba ccm ni janga la taifa
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mtanzania matatani kwa "kuselfie" na flight attendant

    Nilijua ni faiza fox, mana washamba wote wapo ccm
Back
Top Bottom