Recent content by THE MAYA EMPIRE

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni ideas za projects kuhusu fani ya hydrology na meteorology

    Hakika Nahitaji sana kupata ideas on natural resources za kuandaa projects na research
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni ideas za projects kuhusu fani ya hydrology na meteorology

    Tufungue uzi maalumu utakaosaidie wanataaluma kupata ushauri kutoka kwa wataalamu jinsi ya kuandaa projects na research works
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni ideas za projects kuhusu fani ya hydrology na meteorology

    Siti ya kwanza Tag pls wakija
  4. T

    JamiiForums Tanzania Environmental Engineering

    Undergraduate au postgraduate???
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nime sahau password namba ya account yangu ya chuo

    Jamaa niliona post yako baada ya kusahau password uliyotumia kuomba usajili wa chuo Je walikupa njia gan ya namna ya kuirudisha au walikutumia wenyewe
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Ukiiangalia clip wakat Mo anakaribishwa kujionyesha mbele za watu kuna mambo nimeona 1:Mo hana amani ya moyo ya kurudi huku uraian 2:Mo anahuzunika badala ya kufurahi,hafurahi kwa kuwa lipo jambo kubwa lililompata lisilomfurahisha 3:Kama ingewezekana MO angeomba hata kofia ajifunike uso wake kwa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Siku ya saba sasa mo is nowhere to be found
  8. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kusitisha mikopo kwa carry ya course. Je, ni kweli?

    Kipindi nasoma,nilikuwa nahakikisha sipati karai,hata hivyo fb yenyewe nimejiunga 2008 Ila vijana wetu wa sasa mitandao ya kijamii imewazuzua sana Ndyo maana wanafeli ovyo ovyo tu
  9. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kusitisha mikopo kwa carry ya course. Je, ni kweli?

    Ni katika harakati za kutoa msaada Kama ni uhakika naomba unihakikishie,ili nijipange kumsapot bwana mdogo
  10. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kusitisha mikopo kwa carry ya course. Je, ni kweli?

    Behaviourist This question ilikuwa kwa kumsaidia dogo wangu Mie nishaachana kitambo na HESLB tokea enzi za JAR-KAYA
  11. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kusitisha mikopo kwa carry ya course. Je, ni kweli?

    Naombeni kuuliza Je kuna ukweli wowote kwamba ukipata carry ya kozi moja ndani ya semester ni kuwa bodi ya mikopo wanasitisha mkopo wao kwako????
  12. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu yafuatayo

    Ukiona hivyo upo kwenye multiple selection Hata huko MUST yakubidi ukomfirm Kwa hiyo confirm DIT
  13. T

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Mwandishi na akina saa nane unajuwa kabisa sababu za utekaji wao Hata kwa mizania tu utajuwa kabisa ni inshu za kisiasa Lakin Mo utaweka mizania gan???
Back
Top Bottom