Recent content by The Man Of Experience

  1. T

    Jibu la vitu sita ambavyo sio viumbe vya Mungu

    Sasa nimejua lengo la mada hii. Watu kueni macho. Neno linasema siku za mwisho Maarifa yataongezeka hawa jamaa ndo wanatekeleza hilo. Ila Mimi nitabaki na Kweli. KWELI
  2. T

    Inauma sana jamaa anavyoteseka, alitembea na mke wa mtu

    Mtafute Huyo mwamke ndo muende naye kuomba msamaha mkishindwa mpelekeni Kwa Yesu yeye hashindwi kitu maana hiyo ni dhambi kama dhambi nyingine. Na hivi sasa aanze toba ili asijeteseka milele motoni
  3. T

    Naomba kujua ukweli kuhusu 'kiama'

    Naomba nianze kukujibu kirahisi. Kwanza kiama ni kufufuka Kwa watu wote tangu Nuhu. Na baada ya kiama ni huku ya ulimwengu siku hiyo ulimwengu huu utakuwa ndo mwisho wake. Labda nikujuze gharika ya kwanza iliangamiza dunia ya kwanza ikaiacha Nchi ukiwa na utupu. Hii ili kuwa hukumu ila...
  4. T

    Jibu la vitu sita ambavyo sio viumbe vya Mungu

    Ambacho hamjanielewa Si kwamba nimeandika nini. Hamja soma ayubu 38 kuna maswali yanayofumbua kuwa kuna vitu vimeficha na muumba mwenyewe laiti ungesoma ungeuliza vingine. Pili hata bila elimu ya dini bado kumuelewa mungu ni kazi Mimi niseme hivi meditation humhamisha mtu kutoka ulimwengu una...
  5. T

    Jibu la vitu sita ambavyo sio viumbe vya Mungu

    Soma upate Ufahamu na Maarifa. Kama mmewahi kupitia makala moja jamiiforum iliandikwa vitu sita ambavyo havijaumba na mungu. Nakuonya usije ukakufuru bure. Vitu vinavyoonekana na visivyo onekana ameviumba Mungu na hii Si Nadalia kama asemavyo ni dhahiri. Kwa bahati mbaya simeisoma baada ya muda...
Back
Top Bottom