Recent content by The liver between

  1. T

    Jeshi wee muacheni apumue ajiuzulu, kwani nani alimchagua!

    Maduro alikuwa na machawa konki, na masiraha na madege ya kisasa lakini kimemlamba
  2. T

    Thadei Kweka aachiwa huru

    After dictator Maduro who is next?
  3. T

    Thadei Kweka aachiwa huru

    Wenzetu wanalinda na kuthamini sana uhai, na usalama wa raia wao, hapa kwetu mtu na familia yake wanauwa raia wao zaidi ya elfu 10 ili tu abakie kuitwa rais wa nchi na amiri jeshi mkuu, ona Trump anavyopingwa na raia wake lakini hautosikia mtu katekwa wala kauawa.
  4. T

    Thadei Kweka aachiwa huru

    Delta force, they don't play games, they mean business. alafu anakuja mtu anashika kiuno na kusema who are you? Nchi ambayo bado inaomba pesa za miradi ya kuchimba visima vya maji, nchi ambayo haiwezi kutengeneza hata engine oil? nchi ambayo wakuu wa vyombo vya usalama wanapewa maelekezo na...
  5. T

    Samia ,Traore chungeni ndimi zenu na waheshimu Mabeberu

    JWTz wapo imara sana ndugu, houni matofali yanavyovunjwa pale taifa siku ya siku kuu ya uhuhu?, so marekani watachapwa vibaya mno... si jeshi letu ni la sita kwa ubora duniani? Chini ya CDF mwenyewe,
  6. T

    PostGE2025 Ruvuma: Spika Mussa Zungu anataka mtoto wa Jenista Mhagama kupendekezwa Ubunge jimbo la Peramiho?

    Dah Lucas mwashambwa yeye kalizika na pikipiki aliyopewa, kutwa kububujikwa na machozi, ona watoto wa wenzako wanakula mema ya nchi.
  7. T

    PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Kivipii mkuu,? Maana kwa mauaji liyofanya huyu mama na mwanaye hakustahili hata kujiita rais wa nchi
  8. T

    Waziri Mkuu Mwigulu: Watanzania Tunzeni Akiba ya Chakula, Mvua zimechelewa

    Hii ni vita ya kiuchumi, mabeberu hasa marekani na Europe wanatuonea wivu na milo yetu mitatu, wamefanya njama mvua zisinyeshe, Marekani anaionea wivu Tanzania baada ya uchumi wa Tanzania kuwa uchumi imara zaidi kuliko ule wa marekani, kwahiyo watanzania tuungane kupambana na Marekani, kama vipi...
  9. T

    PostGE2025 Benjamin Fernandes: Kwanini uchunguzi unachukua miezi mitatu lakini kuhesabu kura 30M inachukua siku mbili bila intaneti?

    Inataka watu kama Lucas Mwashambwa, tangu apewe pikipiki aina ya boxer anaona maisha kayapatia
  10. T

    Ni wakati muafaka Mashehe kuwajibu Nchi wa Hisani

    Mashekhe watakwambia wahisani watumwa na Kitima au Katoliki, watakwambia kwanini wahisani wanamlenga Samia na sio Nchimbi?Watakwambia nyuma wa wahisani kutakuwa na Nchimbi ndiye kawatuma kumwaribia Samia, mwisho wa siku watasema tutapita misikiti yote nchi nzima mkimwona mzungu yoyote yani...
  11. T

    PostGE2025 Kanisa Katoliki lipo tangu Karne ya 4, huyu Mama ana jipya gani kulitisha?

    Anajaribu kulifanya hili swala lionekane ni la kidini, ionekane kwamba nikwasababu ya uislam wake, uzuri ni kwamba asilimia kubwa ya waislam wameshaijua hiyo mbinu chafu nayotaka kuitumia, yani upore uchaguzi, uuwe watu, uteke, ufisidi wewe na mwanao halafu unataka waislam uwqjumuishe...
  12. T

    PostGE2025 Kanisa Katoliki lipo tangu Karne ya 4, huyu Mama ana jipya gani kulitisha?

    From no where Mashekhe wale wamemdandia Nchimbi eti hatujamsika akikemea uvunjifu wa Amani, eti Mala katumwa na kitima au Kanisa katoliki, yani mambo ya ajabu sana, yani utoe order ya shoot to kill watu wauliwe halafu ujifiche kwenye udini? Kwani waislam ndiyo walikutuma uuwe maelfu ya watu?
  13. T

    PostGE2025 Balozi 16 kwa pamoja zaitaka Tanzania kuachia wafungwa wa kisiasa, kusitisha utekaji na kurudisha miili ya waliouawa

    Wale mashekhe wa kukata watu vichwa waje Watoe press sasa. Mtu kauwa maelfu ya watanzania bado mnasema eti anaonewa kwasababu ya dini yake?
Back
Top Bottom