Recent content by The kop's

  1. T

    Steven Wassira ndiye atakayempokea kijiti Kikwete 2015

    Jaman mbona kila kukicha taasis y urais inazid kidharauliwa....ts beta to b quet rather dan 2 write nonsense,,, mwishowe utakuja sema diamond kua rais 2015.
  2. T

    Edward Lowassa kuongoza tamasha la 'Boda boda day' Jijini Dar es Salaam

    Embu achen ujinga wenu eti"nimeamin mungu ana makusud n ww" nyie mmetumwa nn? Mm na akil zang timamu ata siku moha cwez chagua m2 kama lowasa ata kukniwekea pisto kichwan...iv izo pesa anazochangia kila kukcha anaztoa wap, na pia tujiulze kwa nin atumie gharama nyng kiwango iko kutafuta...
  3. T

    NAOMBA KUFAHAMU EFC TANZANIA. Kama wameita watu kwa written interview

    Ni kwel unachosema ndug ila katika maisha ya leo ni bora kupata kwanza cz itakusaidia kupata uzoef wkt unatafuta sehm nyngne. Mm nko apo na kuna watu weng wanahamia mabank makubwa waktokea apo.siyo vema kukatasha tamaa wenzio.
  4. T

    Biashara ya soko la mtandao (network marketing)

    Weka namba yako y cm apa we coordinator 2wacliane
Back
Top Bottom