Recent content by the kapota

  1. T

    Moses Machali ajiondoa NCCR-Mageuzi na Kujiunga ACT-Wazalendo

    acha aende kwani waswahil walishamaliza kwa kusema "kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi"
  2. T

    Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Kwa ukweli hiyo ndio picha ya 2015, DHAMBI ya UBAGUZI inaanza kuwabagua, wamepoteza kata yao ya Mkongor huko KIGOMA. Na bado hiyo ni rasharasha CDM msubiri maumivu makali 2015.
  3. T

    Ratiba M4C OPD- Mbowe na Dr Slaa wabadilishana Routes.Ni kishindo kikubwa leo...

    Hawana jipya, waaonaaibu tu. tunawasubiri 2015, tutakata ngebe zao
  4. T

    Serikali yaomba msaada wa Treni zilizotumika (Chakavu) Uingereza kuboresha usafiri wa treni

    uNAPASWA KUFAHAMU, NCHI CHANGA ZOTE ZINATEGEMEA MSAADA TOKA MATAIFA MAKUBWA, ASIPOENDA UTAKUWA WA KWANZA KUCHONGA UTAPOKUFA KWA AJILI YA KIPINDUPINDU NA HIV/AIDS. JARIBU KUFIKIRI KABLA YA KUSEMA KITU KATIKA MITANDAO.TATIZO SI SAFARI, TATIZO JE, SAFARI ZA JK ZINATIJA?KAMA ZINATIJA HAINA TATIZO...
  5. T

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe

    Acha ujinga wewe hujui hata siasa zilivyo, mbona mbowe na lissu hawakufunguka na kuwaeleza umma kuwa zitto alipoewa magari 2 na mkono? usiwe na akili za nyumbu
  6. T

    SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

    Membe hawezi kuwa waziri mkuu, pinda ataenda na JK hadi mwisho wa awamu ya JK
  7. T

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Huyoyapaswa anyongwe tu, ili iwe fundisho kwa wengine.
  8. T

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Hahaaaaaaa! Unachekesha kweli, mvunja ndoa za watu ndio apewe nchi, kama kaya yake inamshinda kuongoza?
  9. T

    Dira ya Mtanzania: Siri yavuja, Migiro kuwa Waziri Mkuu...!

    Acha mambo ya uzanzibar na ubara huo ni ubagyzi, muhim ni utendaji kazi wa mtu. toka awe waziri hajapata kashfa ya aina yeyote ile, ni msafi, fuatilia hbr kwa umakini.
  10. T

    Dira ya Mtanzania: Siri yavuja, Migiro kuwa Waziri Mkuu...!

    Acha pumba zako, inaunekana umetoka usingizin, alishindwa UN au muda wake ulimalizika.
  11. T

    Tujikumbushe makala hii: Tabia za Wanasiasa toka mkoani Kigoma

    Ndugu ujiitae mwanasaikolojia, napata wasiwasi na kichefuchefu juu ya taaluma yako kwani unaandika vitu vya kijinga na kipumbafu, tena vya kuudanganya umma wa watanzania. Hivi unauhakika kuwa watu au wanasiasa wa kigoma wako tayari kuisaliti jamii yao kwa sababu ya pesa? hii ni wanasiasa...
  12. T

    Mizengo Pinda: Mshahara wangu kama Waziri Mkuu hauzidi Shilingi milioni sita (6)

    Lah! Ama kweli Tanzania i pepo ya mabwege, tumechoka na ungo wa viongozi wetu. Mh pinda anajaribu kutudanganya kuwa anapokea milioni sita pamoja na posho ya mke wake, na mshahara wake hautofautiani na wa rais kwa milioni moja. naiman pinda ni msemakweli, ili umma wa watanzania uamini, tunaomba...
  13. T

    Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha Kimataifa (SGR)

    Big up MH. JMK, Kwa sekta ya miundo mbinu nakupa hongera umeimarisha na nchi sasa inapitika hongera sana, jitahidi kuunganisha mikoa ya kusini na magharibi na mikoa mingine kabla hujatoka madarakani.
  14. T

    Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

    Hebu tueleze kambona na bibi tti walisaliti nini siasa za TANU, Tatizo kubwa viongozi wa kiafrika hawa taki challenge. Sio, titi wala kambona tu, kwa taarifa yako wapo viongozi wengi wakati wa siasa za chama kimoja na wakati wa utawala wa mwl. nyerere walipinga siasa za chama kimoja na...
  15. T

    Zitto Kabwe kukutana na Waandishi wa Habari tarehe 24 Novemba 2013

    Ni sahihi, hii sio mara yake ya kwanza kusema kauli hiyo. Kama utakuwa mdau wa siasa Mh. Zitto mwaka 2008 alisema kuwa hagombei tena, badala yake mwaka 2010 akagombea. na kwa sasa anampango wa kugombea jimbo la kigoma mjini.
Back
Top Bottom