Recent content by The Iris

  1. T

    JamiiForums Kama tunamsifia ni Kipa mzuri kuliko Aishi imekuwaje Penati ya Juzi hakuidaka na Kafungwa Goli ambalo Aishi asingefungwa?

    Huyo Manila unayeamini hafungiki mbona alifungwa magoli 17 kwenye mechi sita tu. Magolikipa wa Tanzania wanalingana kiuwezo, huyo Manula hata kwenye ligi ya ndani tu mashabiki wa Simba huwa wanamlalamikia. Unasema alifungwa penati, je! Katika kujua kwako mpira kuna kipa ambaye aliishaokoa penati...
  2. T

    JamiiForums Yuko wapi Gidabuday

    Alishaondoka RT zaidi ya mwezi sasa na aliaga kwa heshima zote. Anajielewa sio king'ang'anizi wa madaraka.
  3. T

    JamiiForums Huyu Juma Mgunda atatwambia nini baada ya goli la kizembe kabisa

    Unamlaumu vipi Kaseja kwa goli lile, kwa nini usiwalaumu mabeki ambao walimuacha yule jamaa akakokota mpira, akatulia na akapiga bila presha. Halafu kwa kawaida ikiishatokea tu kila akamface mshambuliaji wa timu pinzani ni lazima apunguze goli. Swali je kwa goli letu la Pili unamsifu mfungaji au...
  4. T

    JamiiForums Niliyoyasema kuhusu Yanga SC yetu mlidhani ' natania ' na hatimaye sasa ' Kimenuka ' rasmi huko na kuna ' Mgogoro ' mkubwa sana

    Tuache kuchochea na kushabikia migogoro isiyo na maana kwenye timu zetu. Mimi naamini viongozi waliochaguliwa Yanga ni wanamichezo na ndio kwanza wana miezi sita kwenye uongozi. Labda wanachama wanaopiga kelele wanataka viongozi wafanye nini hasa kwa kipindi hicho kifupi walichokaa madarakani...
  5. T

    JamiiForums Wanasoka wenye uwezo wa kawaida ila walibebwa na mafanikio ya timu zao

    Hapo kwa Valdes hapana aisee, timu imeshinda mataji mengi akiwa golini unasemaje mbovu. Kwa hiyo kwa mtazamo wako Hata wewe ungeweza kudaka na Barca wakachukua makombe kibao.
Back
Top Bottom