Recent content by The Interpreter

  1. T

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kama huyu amefariki kwa mpango wa Mungu au kwa Ushirikina?

    Kwa hivyo Mungu anapenda watu tuwe misukule au sio 🤒
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Gaidi aliwezi kupona lazima liamke na kulala segerea manyapara wafanye yao!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

    baghi ndio nini, zumbu kuku wewe. Kielimu hunizidi, kimaadili nimekuacha mbali choko wewe!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

    kuna nini cha kuelewa hapo zaidi ya unafiki tu?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha ugomvi wa January Makamba na Musukuma?

    Makamba ni mjinga mjinga
  6. T

    JamiiForums Tanzania Passport ya Tundu Lissu iliibwaje akiwa Ujerumani?

    Upo sahihi kabisa alichokifanya kundu ni mambo ya kitoto kweli kweli.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kicheko cha Shahidi wa 12 wa Jamhuri Luteni Denis Urio Mahakamani kina maana gani?

    Unasikia, lakini huna ushahidi. Jipime kama medula yako iko sawa
  8. T

    JamiiForums Tanzania JWTZ ifanye uchunguzi dhidi ya tabia na mwenendo wa askari wake Denis Urio

    Kwa hiyo mbowe alifanya kazi na komandoo zuzu?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

    Nika mkoa ka hovyo, takataka kabisa. Siwezi kuishi huko mimi
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mzee Juma Duni Haji, wanaotaka Mbowe asote gerezani ni Washirika wa Chama Chako

    hivi kumbe huyo hamnazo ni mwanamke, asalaleee
  11. T

    JamiiForums Tanzania Gerezani kuna nini maana Mbowe ananawiri kila kukicha

    Mnasemaje tumpe unyampara kabisa?
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Hakuna anayewaamini tena nyie viumbe, nyie ni wakabila, wabinafsi na wezi
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu hawezi kupata mali za kutisha, Umaarufu mkubwa na mafanikio makubwa kwenye biashara na fedha nyingi bila kuwa mshirikina?

    watu wa quran wa nini? Hujaridhika na majibu uliyopewa? Yani watu wenye akili timamu hawawezi kubishana huu upumbavu wenu!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

    Mimi nimetoka huko juzi, tangu mwezi wa 7 nipo nashangaa migomba tu!
  15. T

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

    Inapenda sifa hiyo mijitu
Back
Top Bottom