Recent content by THE GOD FATHER

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi tunaamini Mungu alikuwepo lakini kwa sasa hayupo

    msamaha wako kiongozi.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi tunaamini Mungu alikuwepo lakini kwa sasa hayupo

    ni maoni yangu.unanishangaa mimi na mimi nakushangaa wewe.yawezekana wewe ukawa ndo una tatizo.mtu akufundishe kuwa kuiba ni dhambi then huyo huyo anakuibia,still uamin akikwambia ipo siku utachomwa.angalia akili yako mkuu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi tunaamini Mungu alikuwepo lakini kwa sasa hayupo

    yawezekana kuna nguvu inayoongoza vitu kutokea.lakini hiyo nguvu haiwezekani ikawa hii ambayo usipo iabudu itakuchoma siku moja.kuna sababu gani ya kutengeneza kitu halafu baadae ukiharibu kwa mateso makubwa hali ukijinasibu wewe ni upendo?kama sio upendeleo kwanini alichagua taifa lake na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi tunaamini Mungu alikuwepo lakini kwa sasa hayupo

    kama kompyuta haiwezi kutokea yenyewe,je mtengeneza kompyuta anaweza kutokea from no where? okay,let say dunia haiwez kujitokeza tu yenyewe coz iko complicated sana,so ina hitaji mtu aliye i design.je inawezakuja akilin kuwa aliye i design alitokea tu from no where?there might be a power...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    labda kutumiwa.lakin gharama za usafir ni juu yako
  6. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    mkuu 280k last price ya min
  7. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    mzigo upo dukani kariakoo.ukiwa na time ya kwenda kkoo,nichek watsapp au piga hyo namba ya bongo kupata direction ya kufika
  8. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    kuna hp dv3,dv4 na dm4 hdd 500 gb ram 4 gb processor 2.5 Ghz intel core i3 bei 520,000
  9. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    nina acer,toshiba na hp pekee mkuu
  10. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    hapana mkuu.bei ya mwisho toshiba @380k acer @280k
  11. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    toshiba @380000 acer min @280000
  12. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    ndio boss
  13. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    s mzigo mpya mkuu
  14. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    ninaleta mzigo toka china mkuu
  15. T

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Toshiba na acer laptops kwa half price

    wakuu heshima zenu tunauza laptops toshiba hdd 320 gb, ram 2 gb intel core i3 processor 2.5 Ghz price@390,000 acer min hdd 320 gb ram 2gb intel core processor 2.5Ghz price @290,000 tunapatikana kariakoo watsapp +8615622337342 +255717037603
Back
Top Bottom