Ha ha ha, wanaomcha m/mungu n watu wasioyumbishwa na hawatishiki na lolole, nawahusia na kuihusia nafsi yangu tuwe wachamungu bila kujali dini.
Careless whisper
Mapenzi ni furaha, Sio wanaume wote ni vivuruge ' Kibaya zaidi cute girls wengi wanapenda guys wenye pesa, mabishoo nk ambao kwa kiasi kikubwa ndio wasumbufu japo sio wote , Bado tupo wengi tunaojua kupenda, kujali na kuthamini.
Careless whisper
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.