Recent content by The Giantist

  1. T

    Malecela: Tunafanya makosa makubwa sana kumfananisha Hayati mwalimu Nyerere na Rais wa sasa Magufuli

    Kiongozi asiyekemea na kukaripia watu ni mfano wa kikaragosi! Acha kumtafasiri vibaya baba wa taifa, ambaye amekuwa akikaripia na kukemea uovu sawa na afanyavyo Rais JPM.
  2. T

    Mambo yasiyowezekana ambayo Lissu amewaongopea wafuasi wa CHADEMA kwa makusidi au bahati mbaya

    Ila kuahidiwa kwamba Lissu ndiye Rais wa Tanzania, haukuwa utapeli?
  3. T

    Mambo yasiyowezekana ambayo Lissu amewaongopea wafuasi wa CHADEMA kwa makusidi au bahati mbaya

    Wafuasi wa CHADEMA wengi wanastress za maisha, na hivyo kupelekea akili zao kupenda kusikiliza mambo ya kuwafariji wao haijalishi hata Kama ikiwa ni za kubuni na uongo uongo tu.
  4. T

    Tuyaenzi Mapinduzi ya 12.01.1964 kwa kufanya kazi

    Na: MC Wenceslaus Dodoma. 12.01.2021 Habari za leo ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote wa Tanzania hii! Ni matumaini yangu kuwa tunaendelea kuwajibika vema katika ujenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Nitumie nafasi hii kuwatakia mapumziko mema ya siku ya leo hasa tunapoadhimisha...
  5. T

    Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Wewe ni mfano wa mbegu zile zilizoanguka njiani. Ujumbe huo ni maridhawa kwa wale mfano wa mbegu zilizoanguka kwenye udongo mzuri.
  6. T

    Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Ninyi wenye ubongo mkubwa mfano wa simtank la kiboko la lita 3000. Mpaka hivi sasa mmefanya Jambo gani la kueleweka kwa watanzania?!
  7. T

    Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Hujui lugha wewe! Katafute matumizi ya neno uweredi na ueledi. Kisha ndio uje useme ulichojifunza. Achana na kushadadia usiyoyafahamu!
  8. T

    Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Nafikiri wewe ulisomewa huo utumbo, maana vijana wa ufipa waliopoteza ramani hupenda zaidi kusomewa utumbo na sio kuusoma.
  9. T

    Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Ni nani aliye ndani ya ulimwengu huu na hata aliyeiumba na akaishi huko mbinguni alipendwa na wote?! Unanifurahisha sana, kwa jinsi unavyotafasiri tofauti neno kupendwa na jinsi unavyoshindwa kuelewa tofauti baina ya unyenyekevu na kupendwa 😂😂. Kwa bahati nzuri zaidi uliyoyaandika ni misukumo...
  10. T

    Mwaka mpya 2021, ni mwaka wa kuendelea kufanya kazi na kuwajibika kwa uweredi na utaalamu kwa kuzingatia taaluma

    Hicho ni kiswahili sahihi kabisa ndugu, usifananishe na neno 'Ueledi'. 'uweredi' ni tofauti na 'ueledi'!
  11. T

    CCM ilianza kuumba kwa ulimi tangia 2016 lakini wapinzani hawakuelewa. Maneno "Tanzania ya kijani"

    Ni sawa kusema zero analysis kwa sababu hata unayoyaeleza ni zero tu, kwa hiyo ni lazima analysis yake iwe ya namna sawa nayo. Hakuna jipya uliyoyasema katika hayo isipokuwa ni yaleyale yasemwayo na hao waliokukaririsha upuuzi, achana na ulofa jifunze kutumia akili zako binafsi.
  12. T

    CCM ilianza kuumba kwa ulimi tangia 2016 lakini wapinzani hawakuelewa. Maneno "Tanzania ya kijani"

    Waliokuaminisha kuwa uchaguzi haukuwa wa haki na huru, na kwamba kura ziliibiwa wanakuzumu tu kwa ulofa wako 🤣🤣🤣
  13. T

    Kwanini watoto wa Mzee Mchonga hawana nyadhifa kubwa Nchini?

    Siasa ni moja ya kazi miongoni mwa kazi nyingi ndani ya jamii za watu. Mtu anaweza akachagua kufanya siasa au kutofanya siasa. Wahenga waliwahi kusema kuwa "Ni rahisi kumsukuma Punda kufika mtoni, lakini si rahisi kumlazimisha ayanywe maji ya mtoni." Mtu atafanya kazi ambayo nafsi yake...
Back
Top Bottom